Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

We jamaa bwana akili yako ndogo sana. Upo kulazimisha mambo vile unataka wewe. Huo ni ushoga.
Halafu, wewe unafanya crypto mbona kuna utapeli mwingi kwenye crypto. Unang'ang'ania trade history sijui nini.....ukipewa unataka email. Omba basi email.
Wewe una greed na forex imekupiga. So tuliza mshono bi dada. Sote tunafahamu majority ya FX traders wanapoteza.....hiyo haimaanishi hakuna wanaopata pesa huko. Nakupa mfano, mtafute mtu anaitwa Francesco Magnetics kijana mdogo tu anaishi kwa forex hapa hapa DSM Tanzania.
Sometimes jaribu kuwa na hekima kwa kuficha ujinga wako.
 
Bora ulivyomalizana nae anachobisha hata hakijui eti ametengeneza platform za broker wengi apo ndo nimechoka mimi
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hakuna anaeishi kwa forex na magnetics namjua anauza courses sio mgeni, another thing forex mm naijua kuliko wewe unavodhan na hata ivo mnachofanya sio forex, forex haipo kwa kila mtu:

- trade history zote zpo recorded na zpo available mda wowote, pale ndo statistics znapotokea kwamba sjui 99% of traders loose, data ndo zpo apo, mm kumwambia mtu anipe email ni kwa sababu data zake zpo easy kupata, sio kila mwenye mt4 ukaona real account basi ukajua ni faida, kuna mambo mengi nyuma hata nkikuelezea hutaelewa, for now shika kwamba HAKUNA NA HAITAWAHI TOKEA MTU KUISHI KWA FOREX unless anauza courses, mentorship vitu kama ivo
 
Broker gani huyo ulitengeneza platform yake

sio kutengeneza kama from 0 apana, iko ivi kwa kila trade unaofanya lazima kue na opposite trade upande wa pili, mfano if you place a buy order on something like GBPUSD lazima kue na alieweka order ya sell on the same same pair, however at times the number of orders znakua chache upande mmoja apo sasa ndo inakuja order za nje ya broker apo ndo tunapoingia, we offer that order but we increase the spread! overall order zenu zote zpo public available forever and ever, so najua anaetengeneza ela ni nan na anaetumika kutengeneza hela ni nan, ndo inapokuja namwambia mtu weka TRADE HISTORY yako
 
Ataje huyo broker

PLATFORM FOR BROKERS sio mfumo wa broker eleewa apo! broker wanao watengenezaji wao wa ndan sisi just like any other platform tunatumia fursa kwenye orders tu, however i can still create mfumo mzima wa broker if i wanted because najua how it works, so anyone telling you he is making money from forex muongo, exception ya kikundi kama HEDGE FUND, central banks wenyewe hawatengenezi faida na hawajawahi kutengeneza faida, unfortunately people think they can make it in forex πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushasema hujawahi kutrade forex unachobisha maanake hukijui akili yako nyembamba kama uzi wa bikini
 
Ushasema hujawahi kutrade forex unachobisha maanake hukijui akili yako nyembamba kama uzi wa bikini

who even told you mnatrade in the first place πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚:
 
Ushasema hujawahi kutrade forex unachobisha maanake hukijui akili yako nyembamba kama uzi wa bikini

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ izi akili zilipelekwaga na maji, FYI you dont have access to the forex market and you will never have


your broker is funding mentors to lie to you πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…