Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Broker pekee ambaye kwa Sasa unaweza kutrade na kutoa pesa zako kupitia M-PESA ni Deriv tu , wanamazingira mazuri Sana ya kukuwezesha kudeposit na kuwithdraw kwa M-PESA kuliko broker yoyote .

Kingine pia hauhitaj Hadi uverify account yako , ukishaweka Jina Lako Email na namba ya Simu unaanza kutrade Kama kawaida, Kama unahangaika kupata link nimekuwekea hapa chini
 
Ni wapumbavu tu wanaweza kuvutwa kwenye upuuzi wa Forex wakiamini kuna utajiri. Mtu anakwambia Forex ina utajiri mkubwa sana halafu hapo hapo anatoa mafunzo kwa kuchaji vijipesa. Huo muda wa kufundisha watu kwanini asiuwekeze kwenye kutrade yeye mwenyewe awe Bilionea?

Ila wapumbavu hawaishi duniani na wataendelea kugeuzwa fursa ndio maana manabii, wazee wa network marketing na waganga wa kienyeji wanaendelea kupiga pesa.
 
View: https://youtu.be/RE3ZHd8jx58?si=NXQJnJveaC29ZywN
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 kwenye hio documentary ukiangalia wanakuambia Forex trader ukiweza kutrade in profit of 50 -55 percent of your total trades you are the best. Kwa hio the best wanalose minimum 45 percent of their money.Hao ni watu wapo kwenye investment firms. Jiulize wewe na laptop yako itakuwaje. Najua kuna Ng'ombe watakusikiliza na kukupa hela. Maana watanzania wajinga hawaishi wanaozaliwa kila si

Wengine wanatrade kupitia simu.
 
Ni wapumbavu tu wanaweza kuvutwa kwenye upuuzi wa Forex wakiamini kuna utajiri. Mtu anakwambia Forex ina utajiri mkubwa sana halafu hapo hapo anatoa mafunzo kwa kuchaji vijipesa. Huo muda wa kufundisha watu kwanini asiuwekeze kwenye kutrade yeye mwenyewe awe Bilionea?

Ila wapumbavu hawaishi duniani na wataendelea kugeuzwa fursa ndio maana manabii, wazee wa network marketing na waganga wa kienyeji wanaendelea kupiga pesa.
hahaha
 
Back
Top Bottom