Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Mim natumia TCI concept ya supply Na demand base candles nachangnya Na market structures Na nafanya structure to structure trading it becomes easy to see area of interest Na entry zqngu Na refine hivo Muda mwingi zinakua low risk entry hvo spikes zinakua Hakn kabsa sabb Ni probable highest areas where market can turn
Hizi concept Kuna kitabu kinaelezea?
 
Hizi concept Kuna kitabu kinaelezea?
Bro hizi concept sijaziona kwenye kitqbu chochote mentor wangu alikua anazifundisha kutoka kichwani na he used to tell me forex inahitaji exceptional knowledge ambayo Ni unique sio zilizoko YouTube....Na hzo base candles zimekua classified into single base candle,double base candle Na triple base candles Na Ziko powerful ukichanganya Na market structure..Kuna mdau alisema atasoma YouTube zile Ni universal knowledge Ni ngumu kukupa success kwenye game
 
Ningependa kuijua hizi candle zaidi maana market structure sio shida.
 
Mim natumia TCI concept ya supply Na demand base candles nachangnya Na market structures Na nafanya structure to structure trading it becomes easy to see area of interest Na entry zqngu Na refine hivo Muda mwingi zinakua low risk entry hvo spikes zinakua Hakn kabsa sabb Ni probable highest areas where market can turn

kwanza hakuna kitu kama supply and demand kwenye forex trading, you arent even trading in the first place leave alone kuweka theories za supply and demand, you are only BETTING you arent supplying anything same as no one is demanding anything from you, shikilia neno BETTING then niambie supply and demand inahusika vp kwenye mechi ambayo kipa ni magwaya
 
Bro hizi concept sijaziona kwenye kitqbu chochote mentor wangu alikua anazifundisha kutoka kichwani na he used to tell me forex inahitaji exceptional knowledge ambayo Ni unique sio zilizoko YouTube....Na hzo base candles zimekua classified into single base candle,double base candle Na triple base candles Na Ziko powerful ukichanganya Na market structure..Kuna mdau alisema atasoma YouTube zile Ni universal knowledge Ni ngumu kukupa success kwenye game

mentor wako mwambie akurudishie ela yako
 
Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa kifedha na fursa za kutimiza ndoto zangu.

Nilitambua kwamba kwenye ulimwengu huu wa kisasa, forex ilikuwa njia inayopendelewa zaidi ya kuwekeza na kupata faida kubwa. Nilivutiwa na hadithi za watu waliojikomboa kutoka kwenye mikono ya ajira na kuwa mabosi wa maisha yao wenyewe kupitia biashara ya forex. Hivyo basi, niliamua kuwa mmoja wao.

Nilipofikiria juu ya kuacha kazi yangu na kujitosa kwenye ulimwengu wa forex, moyo wangu ulijaa msisimko na wasiwasi. Nilisoma vitabu vingi na kujiandaa kwa miezi kadhaa kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho. Nikaamua kuwa huu ndio wakati wangu wa kujaribu kitu kipya, wa kujiletea mabadiliko kwenye maisha yangu.

Kuacha kazi haikuwa uamuzi rahisi, lakini nilihisi kwamba huu ndio wakati sahihi wa kujitolea kwenye safari ya forex. Nilijiandaa kihisia na kifedha, nikiwa na matumaini kwamba ningeweza kugeuza ndoto zangu kuwa ukweli. Niliamua kufungua akaunti yangu ya forex na kutumia akiba yangu kama mtaji wa kuanzia. Safari yangu ya kuelekea uhuru wa kifedha ilikuwa imeanza.

Husikose sehemu inayofuata...
Ulivyosema tu kuwa ulirudi kwenu Tabora nikacheka kidogo na kukuonea huruma kwa sababu nafahamu matatizo ya watu wa Tabora. Mji na mkoa ule unaongoza kuwa na vichaa hapa Tanzania, it's like almost kila ukoo una kichaa ama kichaa mtarajiwa, it's given. Na ni kichaa tu ambaye anaweza kuacha kazi ya maana na kujiunga na Forex.
 
ila we jamaa 😂
 
kwanza hakuna kitu kama supply and demand kwenye forex trading, you arent even trading in the first place leave alone kuweka theories za supply and demand, you are only BETTING you arent supplying anything same as no one is demanding anything from you, shikilia neno BETTING then niambie supply and demand inahusika vp kwenye mechi ambayo kipa ni magwaya
You are talking what you don't know...edge,edge,edge period
 
kwanza hakuna kitu kama supply and demand kwenye forex trading, you arent even trading in the first place leave
Screenshot_20231031-094743.png
alone kuweka theories za supply and demand, you are only BETTING you arent supplying anything same as no one is demanding anything from you, shikilia neno BETTING then niambie supply and demand inahusika vp kwenye mechi ambayo kipa ni magwaya
Naomba Leo ubeti uje n hzo nambq..consistency is a key
 
Back
Top Bottom