Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Means ukujua sehemu sahihi yakuweka order yako.Inapo kuja kukutoa afu inaendelea uelekeo wake nikwamba kuna order ilifuatwa apo na sio kwamba ilikuja ili upate loss.

hakuna anaejua sehem ya kuweka order, ndipo mnapofundishana risk management
 
Forex ni data ambazo ziko presented inform of charts.Ili utrade forex inabidi uwe na maarifa/uelewa sahihi was how price ina move. Otherwise tutabaki kusema forex is scam.

hakuna anaejua price inaenda wap, even central bank rarely know it, wanaotrade ni wengi u start with banks then follow up HEDGE FUNDS, all these wanatrade kutokana na wanavojua
 
Ni kweli fundamental analysis inatawala soko, hasahasa interest rates decisions ila kuna muda banks wenyewe soko hawalishikilii kama wiki mbili zilizopita vita vya Hamas- Israeli ilileta demand of gold.

yeah ndo mambo yako hivo: the problem isnt demand for gold the problem comes from you trading, gold inaweza kwenda juu but still price can hit your stop loss:

overall brokers wants you to trade more so that they can earn more
 
hakuna anaejua price inaenda wap, even central bank rarely know it, wanaotrade ni wengi u start with banks then follow up HEDGE FUNDS, all these wanatrade kutokana na wanavojua
Sawa hakuna anaejua price itaenda wapi nakubali.Lakini price ikitaka kwenda juu ama chini itakupa mazingira yote yakukuonesha kwamba inageuka upande mwingine.
 
Swala la kambwa amna watu wanafanya maisha kwa mt4 ni upotoshaji

Sawa hakuna anaejua price itaenda wapi nakubali.Lakini price ikitaka kwenda juu ama chini itakupa mazingira yote yakukuonesha kwamba inageuka upande mwingine.

ok tutumie mfano mzuri wewe unaishi kwa mt4?
 
Swala la kwamba amna anae make profits with mt4 ni upotoshaji.Japo sikatai watu wanapoteza hela kwenye forex
 
ok tutumie mfano mzuri wewe unaishi kwa mt4?

ok tutumie mfano mzuri wewe unaishi kwa mt4?
Kwa hili naomba nisiwe mfano kabisa.Wala sihitaji kutumia nguvu kubwa kuwamanisha ichi . Wapo watu nawajua wanatengeneza maisha kwa forex. Na sio kwamba labda walianzia apo tu walijipa muda kabla yakufikia iyo hatua ya kumake profits.Imagine mtu ana miaka 13 kwenye forex, unafikiri experience yake niyakitoto.
 
forex sio experience, anything anytime can happen kwenye forex, trading ni maisha halisi ya sarafu mfano dola inaweza kuporomoka same as gbp haihitaji experience apo ila hayo ni maisha
 
Dollar aiporomoki Kama maembe.Chart itaonyesha dollar inaporomoka na trader atajua ndio muda sahihi wa kutafuta opportunity ya kuisell dollar
 
Yani kiufupi dollar ipande thamani, ama iporomoke trader ataelewa kwenye chart yake na ndio opportunity kwake either kuibuy ama kuisell.
 
unadhan ingekua ivo kuna mtu angekua analoose trade
 
no one makes a profit with mt4
Mm nmekufatilia boss/mkuu inawez Ikawa kwel Kuna kitu unakijua kwnye brokage huko lakin usitumie nguvu kubwa kubisha watu kuwa hawapati faida maan hata wanaohold hiz bitc some point wanapoteza coz Kuna kushuka value na kupanda na wabongo wengi hatuwez kuivest kwenye long run coz mtu una laki mbili utaivest kw miaka mingapi ije ijidouble kw expectation za kwamba itapanda??
So watu Wanamake profit na wanaishi vzur tu kama ww ulifeli na Imani wapo waliotoboa
 
maisha sio rahisi ivo, holding hio ni swala lingine sisi tunaongelea day trading! kwamba you want to time the market kitu ambacho ni comedy, wewe toka umezaliwa ushawahi kuona tajiri yoyote kwenye list unayojua wewe anatrade forex? ukiachana na HEDGE FUNDS na mabenki wewe nani unamjua yupo kwenye list ya matajiri kwa kutrade forex? hakuna si ndio?
 
Sikatai kweli ngumu ndio maana wengi wanaishia kukata tamaa,ama kupoteza hela lakini inahitaji maarifa na experience ya kutosha kidogo.

trading is more complicated na sio kwa upana unaojua wewe, trading is a game lazima mtu aloose mwingine apate hela sasa anaeloose apo mbinu ztatumika zote, wewe jiulize kwann mpaka leo wanaoloose retail ni 99% toka retaoil trading imeanza? huoni kama kuna kitu apo? ushawahi kuona tajiri kwenye list ana mt4?
 
Back
Top Bottom