Ikkijr
Member
- Dec 12, 2022
- 25
- 33
Wapo wengi kina warren buffet ,george Soros .Afu tunaongela maisha ya kawaida ya mbongo kuingiza milion kadhaa ukiwa jobless nimafaniko pia.maisha sio rahisi ivo, holding hio ni swala lingine sisi tunaongelea day trading! kwamba you want to time the market kitu ambacho ni comedy, wewe toka umezaliwa ushawahi kuona tajiri yoyote kwenye list unayojua wewe anatrade forex? ukiachana na HEDGE FUNDS na mabenki wewe nani unamjua yupo kwenye list ya matajiri kwa kutrade forex? hakuna si ndio?