Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ izi akili zilipelekwaga na maji, FYI you dont have access to the forex market and you will never have
View attachment 2796615

your broker is funding mentors to lie to you πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio ivo sasa we kumbe huelewi hedgefund wako na pesa nyingi so wanakuwa direct sokoni wanaweza kufanya chochote ila with boundaries, sis retailer ambao mitaji yetu midogo midogo haiwezi enda direct sokoni ila tunatumia brokers ambao wanatupa leverage /ili kuweza kuasses transaction,

That why katika movement kuna retailer move na institution moves ukielewa hutopata shida
 
unajua kusoma?

hio movement ya retail mmetoa wap na hamko connected na forex market?
 
Kwa komenti hii tu umeonyesha kwamba hii field [FX] wewe huijui sasa hata kumuaminisha mtu kwamba ni Non Profitable mtu makini hawezi kukuelewa.... Ungekua unaijua Fx vizuri hapo sawa but Sadly ni kwamba wewe ni mpiga kelele tu huna point ya msingi

Cha pili ni kwamba we unatrade stock market sijui crypto mbona ndio yale yale tu all fields are about speculation sasa nashangaa unachokandia Fx ni nini au una maslahi yako binafsi?
 

mm kutotrade forex haimaanishi siijui, naijua vizuri sana than most people wanaotrade, sio kuijua kwa trading scenarion hapana naijua how it works upande wa broker so yoyote anaesema anatrade forex namwangaliaga tu
 
Mbona kakuelezea vizuri hapo safari ya trading sio rahisi na unatakiwa uwe na maarifa sahihi simple iyo kusema watu hawatengenezi pesa ni ujinga wapo walio ktl stage ya kuloose wapo walioktk stage ya kumake consistency

amna anaetengeneza pesa kwa forex, yaaani ukijumlisha trade zote lazima uwe zero ama negative ndo point yake (with exception ya HEDGE FUNDS kama alivoelezea apo na nlivoeleze before)
 

anyway acha nkupe task rahisi, we tafuta mtu yoyote anaesema anatengeneza pesa mpe hata $100 mwambie akurudishie faida mwisho wa mwezi ndo utajua unadeal na watu wa aina gan
 
Wajinga ni wateja. Ukishindwa kutengeneza hela kati ya kundi la wajinga basi unakuwa huna maarifa. Pesa wanazo wajinga. Wekeza kwenye ujinga wa watu utapata hela. Forex walioianzisha walijua watawanasa wajinga na ndio mtaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…