Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
- Thread starter
-
- #21
Moaka wanatumia namba za Kenya
Hahahahaha...usiombe upigiwe na mkenya sasa woiii,.
😂😂😂Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Kwanza na mimi nikitaka wanikopeee nafanyaje
TitalipA ila si kwa vitisho hivi mara utashitakiwa kwa wizi wa mtandao mara utalipia gharama za kisheriAHivi nyinyi watu mnaokopa halafu hamtaki kulipa,huwa mnafikri sisi hatuna shida[emoji848]?
Riba kwa mwezi kubwa mno. Kila shs 100 unaipa shs 20.Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Tena usi ombe aku pigie yule mkurya wa kenya utapenda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] any way walichoka adi leo nko na amani
200m wana toa au wanatoa shingapDownload app yao tu
200m wana toa au wanatoa shingap
Uwe na kitambulisho cha taifa,Kwanza na mimi nikitaka wanikopeee nafanyaje
Ah basi bwanaUwe na kitambulisho cha taifa,
Bima ya afya,
Kadi ya mpiga kura,
Leseni ya udereva,
Kitambulisho cha kazi,
Kadi ya benki,