Usiombe kudaiwa na TALA

Usiombe kudaiwa na TALA

Ulipokuwa na shida ya mkopo ulikopa hukujali muda gani kwenye kudaiwa unawapangia?
 
Kama hivi wameweka na nyongeza ya adhabu zao mpaka basi.
Screenshot_20181121-081145.jpeg
 
Axee hacheni wana vitisho atar
Nina deni lao na lina mda kwel
Majuz nilisafir kwenda Uganda
Nimeenda na nikalud bado hawajakata tamaa tu kunitafuta
Ikabidi ni mtafute mshikaj aliye nielekezag kukop
Akaniambia asha wapotezea tang mwez wa pili nika sense wale hamna kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.

Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisa mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
Madeni ya kuzongwazongwa yanakera sana.
 
Ni jambo LA kusikitisha sana
Kuona humu ndani kuna watu mnashabikia DHULUMA.

Watu wa aina hii,
Ndo hufanya hata watu wengine wazuri waonekane wana ROHO MBAYA pindi MTU anapopata shida.

Shida zako ndo zilikupeleka huko tala, Ila baada ya shida zako kutatuliwa hivi sasa unawaona Tala kama takataka.

Kama umeweza kuwafanyia Tala uhuni wa namna hiyo na UNASHANGILIA, Basi MTU yeyote unaweza kumfanyia hivo.

Cha Muhimu,
watu wanakunoti tu.

Pindi utakapopata shida na unahitaji mkopo ,watu watarejea Yale ulowafanyia wenzio

At the End
UTAKOSA MSAADA KILA PEMBE.


Tuweni makini na kauli zetu,

Kudhulumu kisha ukajitapa kwa watu sio sifa, bali ni ushamba na kutokujitambua.
 
Ni akina nani hao niwakodishe wakamdai mtu niliyemkopesha? Yaani wakipewa hiyo hela nawaachia 1/3.
 
Omba usikopeshe mtu ambaye kashazoe kuzongwa zongwa wakati anadaiwa, utajuta.
Nowdays,
Nmekua na tahadhari sana kwny kusaidia & kukopesha.

Ukiona MTU anajisifia kumdhulumu mwenzio,
Kisha anakuja kwako umkopeshe.

Tambua kua na wewe hauko salama.

Hicho hicho;
Alichoweza kumfanyia mwenzio, na wewe anaweza kukufanyia pia.
 
Kumkopesha M Bongo jiandae kwa purukushani.

Wale wa Korosho wameambiwa wapewe pesa wasikatwe madeni, sipati picha Mtu akishapokea pesa yake atakavyotoka nduki asilipe deni.
 
Back
Top Bottom