Usiombe kudaiwa na TALA

Usiombe kudaiwa na TALA

Nyie endeleeni kujisifu kwa udhulumati!!

Wanawavutia pumzi tu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2018-11-21-21-03-22.jpeg
Screenshot_2018-11-21-20-56-58.jpeg
Screenshot_2018-11-21-21-13-29.jpeg
Screenshot_2018-11-21-21-02-00.jpeg
Screenshot_2018-11-21-21-15-06.jpeg
 
Nasikitika hao huwa nawasikia kwenye matangazo tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, mkuu umenifany nicheke kwa sauti,,, mi deni lina miezi 10 lkn kila kukicha lazima watume sms
 
Super ukikwama tuwasiliane
Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.

Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
 
Baba yetu pale whitehouse anadaiwa matrilion kibao sembuse hivi vidafu we kopa usiogope madai
Mara nyingi watanzania siyo rahisi kutishiwa hadi limtokee ndo anakuwa mpole. Sipati picha wamekula hasara ngapi huu ukanda, Hahaa
 
Apa washakuwa jama alarm yangu kila siku saa moja lazima nipate txt
 
Hawa jamaa kwa mtu anayejielewa nini anafanya na nini Tala wanafanya hakika mtu waweza fika mbali,tatizo wengi hatuna elimu ya mikopo pia hatuthamini huduma hizi ambazo zina lengo zuri tu.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom