Usiombe kudaiwa na TALA

Usiombe kudaiwa na TALA

Mbona wakat wakukopa uliaasumbua had saa8 mkuu..... Ndo ulipe tuu hakuna namna[emoji41]
 
Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.

Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
Na mara nyingi watu wa hivi huwa tukikopesha tunasumbuliwa sana kwenye kulipwa.
Yaani unazungusha mpaka unakata tamaa unamwachia Mungu.
 
Ndugu mteja wa TALA!jana tulikukumbusha kumaliza deni lako ukadharau! Tulikukopesha Kwa imani Kuwa Utalipa lakini Umekaidi Kufanya Malipo,kumbuka kutolipa Deni ni UHALIFU! UKAIDI wako Usitufanye Tuchukue Hatua KALI za Kukufedheheshana Kukuvunjia Heshima Katika Jamii.LIPA DENI LEO
 
Hahahahaa. ...nafikiri wanafanya hivyo ili uone kero ulipe maana si kwa SMS zile
 
Hao jamaa walivyo wajinga kila nikifunga simu yangu ikiwa data on nasumbuliwa na tangazo Lao la app. Ikabidi nisajili line fake,nikafungua na fb kwa majina fake ambayo ni sawa na yale ya line fake,nikaanza kukopa 20000 ikapanda mpaka 30000 Baada ya hapo nikawakopa tena 30000 nikasepa mazima mpaka kesho,line nikafuta, na fb akaunti nikaidelete. Nadhani niliwakomesha pumbafu Zao. Nawalia time branch,nao watakuja kunikumbuka pumbafu zao
 
Mkuu Hawa huwa nataka wanikopeshe lakini wananizungusha
Ofcourse dawa ya deni kulipa tala hawanidai tena kazi nilyonayo hapa ya kupokea vitisho kutoka branch mara wata ntoa katika magazeti alooh nawalipa tuvumiliane hata buku pokeeni kwanza.
 
Ndugu mteja wa TALA!
Muda Ulio Pewa Kulipa Deni Umekwisha TAFADHALI Hakikisha Leo Umemaliza Deni Hilo ukikaidi,inaonesha dhahiri unataka" KUTUTAPELI KIMTANDAO"
TCRA ,BUNGE, NA MAHAKAMA,vinapinga vikali utapeli wa MTANDAO Faini ya utapeli si chini ya sh. MILIONI TATU, AU KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA. AU VYOTE KWA PAMOJA.
 
Hao jamaa walivyo wajinga kila nikifunga simu yangu ikiwa data on nasumbuliwa na tangazo Lao la app. Ikabidi nisajili line fake,nikafungua na fb kwa majina fake ambayo ni sawa na yale ya line fake,nikaanza kukopa 20000 ikapanda mpaka 30000 Baada ya hapo nikawakopa tena 30000 nikasepa mazima mpaka kesho,line nikafuta, na fb akaunti nikaidelete. Nadhani niliwakomesha pumbafu Zao. Nawalia time branch,nao watakuja kunikumbuka pumbafu zao
Kumbuka kipindi unasajili hizo app hukusanya IMEI number ya simu yako lifahamu hilo.

Kwenye database yao wana information za vitambulisho ulivyotumia wakati unajisajiri.

Wakiamua ku-track wanaweza kukupata hata ukiwa um-edelete facebook account.
 
Back
Top Bottom