Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa....ila sasa ukipitisha muda sijui inakuaje mana naona kesho zam ya kuwalipa branch ila sijapata ela bado jmnlazima walink na account yako ya facebook na kitambulisho cha mpiga kura kwa hiyo hata wasipokupigia simu kukudai huwezi kuwatoroka kamwe hakuna mjinga aanze kugawa feza bila RISK , wapo wengine wanaitwa Branch hawa ni mpesa tu ,tala wao ni tigo tu, branch wanatupatia feza kwa riba kidogo ila nzuri kulipa kwa mwezi, ya kulipa kwa wiki ni kelo hasa siku ikipita ni sms na kupigiwa simu
Watu wanchukulia simple....pindi unapoinstall app yao...kuna sehem za "allow" ambpo unawapa nafasi ya kusoma message na contacts za kwenye cm yako....!!so waweza kufuta app na fb lkn still taarfa wanazo....labd utumie cm ambyo huna mawasiliano na wengneKumbuka kipindi unasajili hizo app hukusanya IMEI number ya simu yako lifahamu hilo.
Kwenye database yao wana information za vitambulisho ulivyotumia wakati unajisajiri.
Wakiamua ku-track wanaweza kukupata hata ukiwa um-edelete facebook account.
usijidanganye babu hao sio wajinga ni well organized group,they gonna catch u in whatever wayKumbuka ni kitambulisho fake,na simu sina ambayo nilikuwa natumia.
Ukikopa lazima ulipe chief hakuna jinsiHofu yangu nikiwalipa hawatanikopesha tena
Si uwazimie simu uone watakutoa wapi??Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
aisee nimecheka sana. watanzania watu wa ajabu sana. Kuna huyo somebody Mushi amenichekesha sana. Dah aisee watanzania sisi![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 941981View attachment 941982View attachment 941983View attachment 941984View attachment 941988
Hebu nitafute japo siku zimepita Madam Shamim.Haswaaa....ila sasa ukipitisha muda sijui inakuaje mana naona kesho zam ya kuwalipa branch ila sijapata ela bado jmn
Kitambulisho nacho fake au chai hii chief? [emoji23]Hao jamaa walivyo wajinga kila nikifunga simu yangu ikiwa data on nasumbuliwa na tangazo Lao la app. Ikabidi nisajili line fake,nikafungua na fb kwa majina fake ambayo ni sawa na yale ya line fake,nikaanza kukopa 20000 ikapanda mpaka 30000 Baada ya hapo nikawakopa tena 30000 nikasepa mazima mpaka kesho,line nikafuta, na fb akaunti nikaidelete. Nadhani niliwakomesha pumbafu Zao. Nawalia time branch,nao watakuja kunikumbuka pumbafu zao
Mbabu nikopeshe buku20Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.
Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
Mpaka kufikia juzi nishafik level ya 240,000 aisee hapa naskilizia pasaka nivute mzigo mrefu nikale maisha ngorongoroView attachment 964080Waiting to be approved,nianze kula mapesa naahidi kuwa mwaminifu kwao na kulipa madeni kikamilifu...Watanzania hatujui jinsi ya kutumia hizi fursa kikamilifu wengi tunaingiza ubabaishaji na kuwafanya wengine waaminifu tuonekane matapeli