Usiombe kudaiwa na TALA

Usiombe kudaiwa na TALA

Vigezo vya kukopa ni vipi?


lazima walink na account yako ya facebook na kitambulisho cha mpiga kura kwa hiyo hata wasipokupigia simu kukudai huwezi kuwatoroka kamwe hakuna mjinga aanze kugawa feza bila RISK , wapo wengine wanaitwa Branch hawa ni mpesa tu ,tala wao ni tigo tu, branch wanatupatia feza kwa riba kidogo ila nzuri kulipa kwa mwezi, ya kulipa kwa wiki ni kelo hasa siku ikipita ni sms na kupigiwa simu
 
Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.

Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
vyuma mkuu vikibana huna option
 
Ofcourse dawa ya deni kulipa tala hawanidai tena kazi nilyonayo hapa ya kupokea vitisho kutoka branch mara wata ntoa katika magazeti alooh nawalipa tuvumiliane hata buku pokeeni kwanza.
Huwa wana vitisho kama vyote vile
 
no comment but from my small survey TALA wako vizuri kuliko hata TIGO NIVUSHE!

be smart then you will enjoy
 
Niliwahi kuwakopa mwaka jana, kiasi cha shilingi 20, nikapitiliza deni lao wakawa wananipigia mpaka simu, asee!! Ni balaa
 
Back
Top Bottom