MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Vigezo vya kukopa ni vipi?
lazima walink na account yako ya facebook na kitambulisho cha mpiga kura kwa hiyo hata wasipokupigia simu kukudai huwezi kuwatoroka kamwe hakuna mjinga aanze kugawa feza bila RISK , wapo wengine wanaitwa Branch hawa ni mpesa tu ,tala wao ni tigo tu, branch wanatupatia feza kwa riba kidogo ila nzuri kulipa kwa mwezi, ya kulipa kwa wiki ni kelo hasa siku ikipita ni sms na kupigiwa simu