Usiombe kukutana na mbwamwitu

Usiombe kukutana na mbwamwitu

Hiyo inaitwa EATEN ALIVE haya majamaa ni noma.Bwana fisi ndo hua anajua mziki wao
 
Ulishawahi kukutana nao au unasema ukikutana nao
Inategemea wa pori lipi.
Kwa mfano wa mikumi na ngoro ngoro hawana shida saana wao ni waoga waoga hao wa selue ndio shida wakiwa na njaa kidogo wanasumbua kama usipokuwa na ujasiri wanakudokoa.
Ila sio kwamba eti wanakushinda hapana ukikomaa nao mbona waoga !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom