Usiombe kukutana na mbwamwitu

Akatuambia pandeni juu ya kitanda...
Alafu akatuambia teremkeni mkapande juu ya mti kule nje...(wakati huo mbwa nao wako nje waliwapisha mkapande mtini)alafu mkamwacha mjomba wenu akiwa na simba ndani ......
Ngoja nikanywe zangu chai.
Sukari haijapanda bei huko
 
Hio ni nature ukisema umsaidie swala asiliwe ni kosa mbwa mwitu watakufa njaa.
 
Baada kuangalia video nikajiuliza, hivi wanyama hawahisi maumivu kama sisi Mamalia wenzao?
 
Nenda ukaisogelee pride ya simba kwa kigezo cha kuwa wewe ni binadamu tuone kama utachomoka mzima…
Rahisi TU.

We ukiwaona jifanye unaokota jiwe nakwambia wanaogopa jiwe hao mapaka niamini Mimi.

Kikubwa wakikimbia hata hatua nne usijifanye unawafujuza kama kuku kwa kawaida Simba ni mbishi na hapendi dharau akiona unamfukuza sana anasimama mpigane vizuri.

Jambo longine hawapendi fujo ukiona wamekupisha njia achana nao.

Point to note.. hakikusha huna woga wowote ndani Yako wale Wana uwezo was kusmell mtu mwoga na kumsoma fresh.
 
mzee baba Simba wanaogopa mawe???
 
😭😭😭😭😭👇👇👇👇😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😟😟😟😟😭😭😭😠😠😠😠😠😭😭😭😭😭😭🙋🙋🙋🙋🙋😭😭😭😭😭🤫🤫🤫🤫🤫😭😭😭😭😷😷😷😷😭😭😭🏃🏃🏃🏃🏃🚶🚶🚶🚶❎
 
Sa mbona hujasema 'hadisi' yako inatufundisha nini... [emoji23]
 
Unategemea na idadi yao pia Simba mwenyewe. Kuna movie ya wanyama Simba kaua mbwa mwitu watano wengine wamekimbia.

Itoshe kusema Simba hafi kizembe kwa hawa mbwa mwitu. Lazima nae aue kadhaa
mzee mziki wa mbwa mwitu simba wenyewe huwa wanakimbia,kwanza hawarudi nyuma wenyewe wanakuja tu
 
japo kuna wapumbavu watakupinga lakini mimi naamini kabisa.
Hizi situation huwa zinatokea sana kwa watu wa route za porini.

Humu yamejaa matoto ya tom and Jerry na YouTube mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…