Usiombe kukutana na mbwamwitu

Hii chai ya moto mnoo😎😎
 
Mbwa mwitu anatisha Sana,

Kumkimbia huwezi maana yeye spidi yake Ni mdogo mdogo (40km/hr),
afu Anaimantain kwa muda mrefu

Kwaiyo
Utakimbizwa mpaka maji uite "mma"

Ukichoka,
Utatafunwa ukiwabado uko hai kiungo kimoja baada ya kingine[emoji23]
 
Ubaya wa mbwa mwitu,

Akiwa mmoja huwa Hana madhara, na huwa Ni muoga na hapendi kupigana.

Ila kibaya zaidi,
Ni ngumu Sana kumkuta eti mmoja tu anazurura peke ake uku na kule.

Ukimuona yuko peke ake,
Jua jeshi lake haliko mbali na eneo lile.

Na alivo mkatili Sasa,
Akiwa mmoja akakuona, atajifanya Kama anakukimbia vile uku amefyata mkia wake ili ujione mwamba[emoji1]

Akirudi Sasa,
Atakuja na full kikosi akiwa na wavietnam wenzake[emoji23]

Itaanzishwa marathon ya kukera, mpaka utatamani ugeuke yule mkenya KIPCHONGE
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
dah nakufa na Marathon
 
Hawa wanyama sio hatari hata kidogo kwa simba au binadamu. Labda swara ndio


Cheki ngiri mmoja anavyowapiga stop mbwa mwitu zaidi ya kumi, na zebra wanawapisha bila tatizo
 
Shida watu wanadanganywa sana, mbwa mwitu n wakali ila kwa Simba, binadamu na wanyama wakubwa wanakuwa mdebwedo
Hawa wanyama sio hatari hata kidogo kwa simba au binadamu. Labda swara ndio


Cheki ngiri mmoja anavyowapiga stop mbwa mwitu zaidi ya kumi, na zebwa wanawapisha bila tatizo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…