Usiombe kukutana na Nsia Swai

Hujawahi niona, na kama umewahi basi hukunitazama vizuri...

Siwezi andika kimo changu halisi kuhofia wasiojulikana hapa...
Mhmhh[emoji125][emoji125]
Salama lkn[emoji113][emoji113]
Long time no see mkuu!
Happy yr!
 
Mhmhh[emoji125][emoji125]
Salama lkn[emoji113][emoji113]
Long time no see mkuu!
Happy yr!

Salama sana Tina☺️, ni miaka mingi kwa kweli, huwa nakuona tu humu twapishana...

Kwako pia uwe mwaka mzuri
 
Watu mnaponda lakini enzi zile utandawazi mdogo tulimuona kisu kwasasa acha tukomae na kina Amber Ruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…