Usiombe kukutana na Nsia Swai

Usiombe kukutana na Nsia Swai

Ndio nani huyu?. Mikoani tunauliza. Halafu mbona kama fuvu?. (Wa dar mtamwita pc kali
 
acha kabisa, wee mwone tuu mwanamke akivaa nguo kapendeza, akivua ni kituko, unaweza zani umebadilishiwa.

utaona ke kanenepa anashepu, akivua ni mgumu, ngozi ngumu, mabonde bonde kibao mpaka tako linakuwa na mabonde hasa vibonge.

Yani mpaka hamu inaisha. Hasara tupu, wahivo nisipohairisha huwa sirudii tena.
Hapo pa ugumu wa ngozi ni changamoto kwa ke wengi. Unakuta tako lipo ila ngozi ya tako sio soft kabisa, hata vibration hakuna.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni wachacharikaji kinouma. Yaani yupo kufanya lolote ili December asiende kudharauliwa.
Unacheza na manka kwanza Kama hauna elimu pesa ama biashara ama miradi ya maana humuoi mkuu.
Wapo wanaotoka Arusha kufuata mzigo dar. Akishafika dar kwanza anauza utamu akipata mtaji anaongezea anachukua mzigo wa maana ,fasta kwa Sai baba ama dar express kwa biashara zake Arusha.
Hao jamaa ni Wana akili ya kiutafutaji sijawahi ona ,Sasa wake afu staafu uone.
Sidhani Kama kwanza Kuna manka atakubali uishi na mtt wa ndugu sema wao kujazana kwako ni halal Ila wa kwako ni Haram shekhe
Mimi hapana, mbona vibwengo wengi tu hawajasoma au wana elimu za kawaida mno na wameoa wachagga

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni wachacharikaji kinouma. Yaani yupo kufanya lolote ili December asiende kudharauliwa.
Unacheza na manka kwanza Kama hauna elimu pesa ama biashara ama miradi ya maana humuoi mkuu.
Wapo wanaotoka Arusha kufuata mzigo dar. Akishafika dar kwanza anauza utamu akipata mtaji anaongezea anachukua mzigo wa maana ,fasta kwa Sai baba ama dar express kwa biashara zake Arusha.
Hao jamaa ni Wana akili ya kiutafutaji sijawahi ona ,Sasa wake afu staafu uone.
Sidhani Kama kwanza Kuna manka atakubali uishi na mtt wa ndugu sema wao kujazana kwako ni halal Ila wa kwako ni Haram shekhe
Hao wanaooa wachagga mpaka wasome ni vyasaka(wanaume wasio wachagga), ila wenyewe kwa wenyewe mbona wanaoana fresh tu. Pia Who's Manka by the way? Mbona wa kawaida mno? Nimewala sana chuoni kwa ofa za mihogo na juice za parachichi za 400.

So, unaposema sijuo ukiwa broke hutoki nao wala kuoa n.k, nakushangaa mno.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sasa umekutana nae halafu unatuuliza anapatikana wapi? Si ungemuuliza!
 
Back
Top Bottom