Usiombe kukutana na Nsia Swai

Usiombe kukutana na Nsia Swai

Baba yake marehemu dr swai alifariki nikiwa mwaka wa pili pale kcmc...mzee alikuwa anajifanya mbabe yule kumbe mwanae anagongwa hovyoo...nakumbuka tulikuwa tunapita ward round akanituma groves nikagoma akaenda kunishtaki kwa incharge wa ward..
Kumbe kijana huna adabu, jeuri na ndio maana chuo ulilala msikitini. Wanasema'ga' ukiona masikini anateseka aidha mtoto, kijana au mtu mzima, usimuonee huruma, mara nyingi ni kibri chake, dharau na majungu ndivyo vimemuweka hapo.

Niliona huruma uliposema ulilala msikitini ukiwa mwaka wa kwanza chuo, kumbe ulistahili kupata kadhia zile. Sio kwa kibri kile ulichoonesha kwa Dr., hukuwa na adabu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenyewe daktari mkuu
 
Back
Top Bottom