Mzuri anavutiaNimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant.
Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
Mbezi makonde ulikuwa nae, si ungemuuliza.Matumizi mabaya ya nafasi.Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant.
Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
Huyu si yupo na yule jamaa wa mawingu fmAlikuwa na basha moja hivi...ningetolewa pua
Pole mkuuAlikuwa na basha moja hivi...ningetolewa pua
nyumba nzuri lazima iwe na wapangaji wengiAnakutana na mtanuko wa ajabu hadi ashindwe kuelewa kama kumechimbwa chumvi au makaa ya mawe😂😂
Mkuu siku hizi umepotelea wapi?Vijana tafuteni pesaaaaa
Kabisa kabisa, otherwise utatia huruma sana na kuvizia masikhara [emoji28]Vijana tafuteni pesaaaaa
Mentalism is real.Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant.
Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
Penseli kwa Kiswahili ndo maana yake nini
Mwamba anahonga ukooYaani unataka kuuza ukoo wote pesa umpe yeye? Kweli wanaume ni kiumbe tofauti kabisaa😂😂🙌