Usiombe kukutana na Nsia Swai

Unachuki kali sana nao, hakuna asiye na udhaifu...
 
Unachuki kali sana nao, hakuna asiye na udhaifu...
Chuki Gani ama unawaonea wivu. Ukioa manka miradi yako haifi mkuu.
Nimekuambia wako poa Sana kiutafutaji.ukirudi kabla ya kupewa utamu lazima uulizwe kuwa umeingiza Bei gani.
Mie nawapenda walivyo watafutaji wako radhi hata kumwaga damu ya mtu ilimradi hela tu mkuu.
Afu mie Bibi yangu kizaa mama anatokea Bima ng'ombe akaolewa na mmeru afu baba akaoa umeruni.
 
Hahah eti kizazi cha Zakayo [emoji2960][emoji2960]

Kwa kweli, sababu njiani nitaonekana namsindikiza mdogo wangu wa mwisho mahali...[emoji30][emoji30]
Dooh basi inaonekana wewe ni mrefu sana mimi tukitembea wote utaonekana unamsindikiza mwanao [emoji2960][emoji2960]
 
Dooh basi inaonekana wewe ni mrefu sana mimi tukitembea wote utaonekana unamsindikiza mwanao [emoji2960][emoji2960]

Ni mrefu kiasi sio sana, kibongo bongo nipo above kidogooo average height ya wanaume...

Lakini kumsindikiza 'mwanao' mahali si nayo ni poa tu eenh ☺️
 
Ni mrefu kiasi sio sana, kibongo bongo nipo above kidogooo average height ya wanaume...

Lakini kumsindikiza 'mwanao' mahali si nayo ni poa tu eenh [emoji3526]
Mmh hebu itaje hiyo height ili nifanye comparison kabisa [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…