Usiombe kukutana na Nsia Swai

Usiombe kukutana na Nsia Swai

Hata mimi nilikuwa na hiyo nokia 6030
Hio ndio ilikuwa inabamba sana enzi zile kitu cha Hungary nilinunua 85000 mpya kkoo pesa ya pocket money miezi 8iliniuma ila school nilionekana wa kishua
 
Hio ndio ilikuwa inabamba sana enzi zile kitu cha Hungary nilinunua 85000 mpya kkoo pesa ya pocket money miezi 8iliniuma ila school nilionekana wa kishua
Mimi nilimvua jamaa flani hapo shule alikuwa anabadili simu yeye alikuwa na n70 nadhani, kumbe alikuwa ana deal na wezi wa simu za town analeta shule anatuuzia halafu anatuibia shule anaenda kuwauzia town
 
Jaman watu 8 kama nsia sio mzuri sura sjui wewe unataka wa aina ganiiiii kama sio malaikaaa
Uwiii ila na wewe ni ka HB ka maana japo sio mrefu kama unavyotaka wengine wawe warefu...

Kwa hiyo unanishaurije Nakadori ?
 
Mimi nilimvua jamaa flani hapo shule alikuwa anabadili simu yeye alikuwa na n70 nadhani, kumbe alikuwa ana deal na wezi wa simu za town analeta shule anatuuzia halafu anatuibia shule anaenda kuwauzia town
Heheheh
 
Wachuchu mpo wengi sana, uvumilivu tuwaachie mapadre na maaskofu...

Ufupi si hadi nikuone Chakorii
Eti tuwaachie akina nani??
😜😜acha basi mwamba..

Unafahamu kile kigaloni cha maji watu8…eheee huo ndo urefu ndugu yangu
 
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant.

Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?

Mwenzako huyu mpange

Eti tuwaachie akina nani??
😜😜acha basi mwamba..

Unafahamu kile kigaloni cha maji watu8…eheee huo ndo urefu ndugu yangu

Hahah hapo penye kigaloni wataka nifurahisha tu...huo mguu waonekana hapo haiwezekani uwe umebeba uzito mdogo
 
Sasa mbona ww sio mrefuu[emoji56][emoji56][emoji1787][emoji1787]

Hujawahi niona, na kama umewahi basi hukunitazama vizuri...

Siwezi andika kimo changu halisi kuhofia wasiojulikana hapa...
 
Back
Top Bottom