Usiombe kukutana na Nsia Swai

Usiombe kukutana na Nsia Swai

Huwa sina sana preference, isipokuwa navutiwa na tall girls 1.75m +

Honestly ni mrembo (umbo) 10/10, isipokuwa sura inamuangusha kiasi fulani 6/10
Basi huyo anakufaa sana.

Huwezi kupewa vyote ujue…utaonekana mrembo lakini kasoro moja tu watu wataitumia basi tu ili kuichafua roho😁😁

Kwahiyo sisi vigaloni ndo ishakula kwetu 💔
 
Kasumbua Sana enzi izo na ile connection yake ya hostel

[emoji2][emoji116]
Kweli internet haisahau, ile picha imevuja niko kidato cha sita, nakumbuka kwenye mahafali yetu alikuja na rafiki yake ambaye ni dada wa rafiki yangu niliyekuwa naye kidato cha sita. Nikawa nashangaa wanafunzi wanagombea kupiga naye picha, mimi nilikuwa sijasikia wala kuona picha ukizingatia enzi hizo simu na mitandao haikuwa sana back in 2009.
Baadae ndipo nakuja kujua sababu kumbe walitaka wakawaonyeshe watu.
Leo ni miaka 13 bado watu mnaitrendisha. Ila alikuwa mpole sana hata story ya hizo picha ilikuwa bahati mbaya tu. sometimes shit happens.
Sijawahi kuelewa kwanini mabinti hujipga picha za namna hii na kukaa nazo.
 
Back
Top Bottom