Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

niliomba namba usiku usiku umeme ukiwa umekatika hata sura sijamuonq vizuri..

asubuhi tu saa moja ananiomba elfu 10 aende hospitali eti anaumwa..

nikamwambia najiandaa nikupeleke mwenyewe hospital akakataa kata kata yeye anataka Pesa tu qumamake..
Mkuu,

Hapo umeonesha una care kichizi.

Yani umeona kutoa pesa tu haitoshi, wewe unataka kutoa pesa na muda wako, umpe personal care kumpeleka hospitali.

Yani unaelewa "Utu wa mtu kazi, pesa ni matokeo".

Ila ukapigwa chini usimpeleke vilevile.

Watu wanataka pesa tu 🤣🤣🤣
 
Mapenzi hayaendeshwi kwa risala, kuna gharama haziepukiki. Ila kuna wale wanavuka mipaka mpaka inakuwa kibiashara.

Cha kufanya ongeza kasi ya kuomba namba mpaka upate wa kufanana nae.
#usitishike #jiamini #pigachiniwasumbufu #dunianiyetu #maishamafupi #sisindiosisi #usiishikinyonge #misimamomuhimu #balansishobo #tutafutepesa #achakufurahishawatu #wekamipaka
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom