Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

niliomba namba usiku usiku umeme ukiwa umekatika hata sura sijamuonq vizuri..

asubuhi tu saa moja ananiomba elfu 10 aende hospitali eti anaumwa..

nikamwambia najiandaa nikupeleke mwenyewe hospital akakataa kata kata yeye anataka Pesa tu qumamake..
Mkuu,

Hapo umeonesha una care kichizi.

Yani umeona kutoa pesa tu haitoshi, wewe unataka kutoa pesa na muda wako, umpe personal care kumpeleka hospitali.

Yani unaelewa "Utu wa mtu kazi, pesa ni matokeo".

Ila ukapigwa chini usimpeleke vilevile.

Watu wanataka pesa tu 🤣🤣🤣
 
NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…