Usiombe uende hospitali ukafanyiwa kipimo hiki cha OGD

Ah ah ah ah nimecheka kama mazur pole
 
Catherization inaitwa...Umri ktk udaktar sio kigezo...muhimu ajue anachokifanya NA kikubwa zaid kinachotakiwa ktk hii fani ni confidentiality.
 
I did barium iko poa ila itabidiuache kucheka cheka mbele za watu maana ukicheka tu unahara!ule uji noma mi uli upset tumbo kwa siku mbili unahara bila maumivu any thing can triger uhalo!
 
Catherization inaitwa...Umri ktk udaktar sio kigezo...muhimu ajue anachokifanya NA kikubwa zaid kinachotakiwa ktk hii fani ni confidentiality.
Kuandaa mgonjwa kwenda theatre ni kazi nesi sio daktari. Umri katika fani yoyote si kigezo na sio katika afya pekee.
 
sasa kwani vifaa si vinatoka nji zilizoendelea?pole kuna vitu vingine haviepukiki
 
Pole mkuu mimi nikifanyiwa mwaka 2001 pale Aghakan na Prof mhindi. Daaah ctasahau
 
Endoscope hiyo, muhimbili jengo la Magonjwa ya moyo pale ndo mahala kinapatikana hicho kipimo daah hatari nilifanyiwa hiyo kipimo mwaka jana,na baada ya dozi ilitakiwa nirudie kupima tena dooh niligoma nashukuru dr wangu aliekua ana nitibu alinielewa.noma sana hicho kipimo noma sana aisee!

BTW pole sana mkuu!!
 
Catherization inaitwa...Umri ktk udaktar sio kigezo...muhimu ajue anachokifanya NA kikubwa zaid kinachotakiwa ktk hii fani ni confidentiality.
aisee ila nitamtafuta huyo dada ili nikamuonyeshe rasmi kazi ya hicho kidude alichokiona kipindi nipo mahututi
 
sasa ila ulipata surunu ua tatizo lako?
 

OGD stands for oesophago-gastro-duodenoscopy, sometimes also called a gastroscopy. An OGD test is performed for both diagnostic and therapeutic reasons. The test is commonly done with sedation.

se·da·tion
səˈdāSH(ə)n/
noun
  1. the administering of a sedative drug to produce a state of calm or sleep.
    "he was distraught with grief and under sedation"
Next time, make sure wanakupa ''Nusu kaputi'' na si ganzi tena ya kupuliziwa
 

Hahahahaha Mkuu mbona unasisitiza sana? Noma sana....
 

Jibu la swali lako hili hapa



 
sasa ila ulipata surunu ua tatizo lako?
Nilipata majibu kwamba sina Ulcers lakini kwa mujibu wa vipimo vingine nilivyopima niligundulika nina kiasi kikubwa cha Acid mwilini na kuna vijimawe vidogo vidogo kwenye figo,so nipo kwenye dozi mkuu.
 
Pia hilo lilikuwa jaribio langu la kwanza mwaka jana mwanzoni nilifanyiwa upasuaji wa kuondoa appendicy,baada ya kufanyiwa niliporudishwa wodini nikawa siwezi kunyanyuka kwenda haja ndogo ndio nikawekewa huo mpira kwa ajili ya kutolea mkojo.Aisee kumbe ile tundu ya mbele ya uume inatanuka sana.Kwa kweli unapoingizwa ule mpira unasikia maumivu sana,ila balaa zaidi la maumivu linakupata pale unapokuja kuchomolewa ule mpira.Uwiiiii!
 
Hahahahahahaha mtoa mada unichekesha sana eti macho yamekutoka kama fundi saa hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…