Manfred ngulo
Member
- Jul 25, 2016
- 5
- 1
pole Sana ndugu ndio matibabu hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umepata mikwaruzo tumboni, basi ndio utakuwa umeachiwa vidonda vya tumboPamoja na kusokomezwa hilo li-mpira lakini majibu ya kipimo yalionyesha sina Ulcers.Ndio maana nikajiuliza hakuna njia nyingine za kitaalamu kugundua tatizo hilo bila kutumbukiziana hayo mavitu tukatiana mikwaruzo tu,halafu mwisho wa siku majibu yanaonesha "Normal".
Mhhhhh!!!!Kuna kipimo kingine huwa kinaingizwa huko nyuma kina kamera mbele hicho nadhani kina afadhali
Pole mkuu.Jana nilienda hospitali moja kubwa hapa jijini Dar.Nilikuwa nasumbuliwa na homa ikiambatana na maumivu ya mara kwa mara ya tumbo.Kwa maelezo ya Dr. ilibidi aniandikie kipimo flani hivi kinaitwa OGD.
Mungu wangu!Katika siku nilihisi roho yangu inatengana na mwili ilikuwa jana, hicho kipimo unaingizwa "li-mpira"jeusi kubwa mdomoni linasokomezwa mpaka tumboni kwa muda kama wa dakika mbili au tatu.Kwa kipindi hicho huwezi kupumua vizuri, huwezi kuongea, huwezi kutema wala kumeza mate, macho yanakutoka kama fundi saa kapoteza nati.Yaani ni mateso jamani.Hayo yote yanafanyika baada ya kupuliziwa dawa ya ganzi lakini wapi bwana, hakuna ganzi kwenye kukata roho.
Na ndio maana kipimo hiki unatakiwa ufanyiwe kabla hujala chochote maana ukitumbukizwa ule mpira ni lazima utapike.Yaani leo hii nahisi ile mikwaruzo ya ule mpira bado ipo kuanzia kooni mpaka kwenye utumbo.Aisee sitakubali nifanyiwe hii kitu labda niwe mahututi sijitambui.
Labda wataalamu wa mambo haya mnijuze, je hata huko kwa wenzetu kwenye nchi zilizoendelea wanatumia njia hii ya kutumbukizana madude haya tumboni au kuna njia nyingine? Maana siamini kama mzungu anaweza kuvumilia mateso haya.
Yaani homa tu na tumbo ndo wamekusokomeza huo mdude!!Jana nilienda hospitali moja kubwa hapa jijini Dar.Nilikuwa nasumbuliwa na homa ikiambatana na maumivu ya mara kwa mara ya tumbo.Kwa maelezo ya Dr. ilibidi aniandikie kipimo flani hivi kinaitwa OGD.
Mungu wangu!Katika siku nilihisi roho yangu inatengana na mwili ilikuwa jana, hicho kipimo unaingizwa "li-mpira"jeusi kubwa mdomoni linasokomezwa mpaka tumboni kwa muda kama wa dakika mbili au tatu.Kwa kipindi hicho huwezi kupumua vizuri, huwezi kuongea, huwezi kutema wala kumeza mate, macho yanakutoka kama fundi saa kapoteza nati.Yaani ni mateso jamani.Hayo yote yanafanyika baada ya kupuliziwa dawa ya ganzi lakini wapi bwana, hakuna ganzi kwenye kukata roho.
Na ndio maana kipimo hiki unatakiwa ufanyiwe kabla hujala chochote maana ukitumbukizwa ule mpira ni lazima utapike.Yaani leo hii nahisi ile mikwaruzo ya ule mpira bado ipo kuanzia kooni mpaka kwenye utumbo.Aisee sitakubali nifanyiwe hii kitu labda niwe mahututi sijitambui.
Labda wataalamu wa mambo haya mnijuze, je hata huko kwa wenzetu kwenye nchi zilizoendelea wanatumia njia hii ya kutumbukizana madude haya tumboni au kuna njia nyingine? Maana siamini kama mzungu anaweza kuvumilia mateso haya.
Yeah ni by the wayAu ni by the way? Naona inakubali
Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!Mkuu wewe umepona? Na mm nilifanyiwa icho kipimo na nikapewa dozi ya miezi kama miwili,lakini imejirudia
Dah!! Hata mm unazingua kuna muda,ivi solution ya kupona kabobs hamna zaidi ya kupoza kwa muda tu?Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!
Hata kinachoingizwa mdomoni kina kamera na taakuna kingine kinaitwa colonoscopy unaingizwa kwa 'back' hicho nacho balaa ukizingatia vialainishi vimepigwa marufuku
Tena kataa kinaingizwa mdomoni kinafika hadi mlango wa haja kubwa pale pale[emoji3] [emoji3]Nimesoma tu maelezo yako nimesikia maumivu hadi kwenye utumbo, siku nikisikia wanataka kunipima takataa hadi dk ya mwisho.
Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!
dah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
dah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
napafaham pale panaitwa Alfa wako vizuri sana nami nilifanyiwa pale sitosahau nilivyotema mimate kama roho inatoka vile pumzi zinakatadah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
Pole sana mkuu...me ni dadaKaka mimi nilishapitia hicho kipimo nilipata shida sana kama shuhuda anavyosema mpaka ilibidi nirudi kuapologize kwa Dk. na nurse baadaye. Ikiwa kuna kufanyiwa tena ikawepo hiyo option ya kwingine ningekubali ili niendlee kupumua. Maumivu yake huwa zaidi ya siku nne.
Pole sana mkuu, wakati nchi zingine wanapiga hatua kwenye technology ya tiba sie twatumbuana majipu!Pamoja na kusokomezwa hilo li-mpira lakini majibu ya kipimo yalionyesha sina Ulcers.Ndio maana nikajiuliza hakuna njia nyingine za kitaalamu kugundua tatizo hilo bila kutumbukiziana hayo mavitu tukatiana mikwaruzo tu,halafu mwisho wa siku majibu yanaonesha "Normal".
Ni bei gani kupimwa Ogd?M nilifanyiwa Hindu mandal na selian hospital yan sitaman tena maana kipimo hk n kipya kwny baadhi ya hospital kW hyo wana force kumpima MTU ili wapate faida maana selian Nili waeleza tayar nimepma 3wek agos wakasema subir tuhakik lol yan sikutaman nirudiwe ila shida ugonjwa auna adabu