Usiombe uende hospitali ukafanyiwa kipimo hiki cha OGD

Seliani walikuchojoa kama laki mbili na nusu hivi naamini
 
Njia nyingine zipo, wanachukua kinyesi chako kidogo yn stool then wanachukua reagent wanaweka hapo kipimo kitaonyesha kama una ulcers au la
 
ACHA TU NDUGU YANGU...MAMBO HAYO USIKIE TU KWA MWENZIO AKIKUHADITHIA.
 
EEHH unasema kipimo hiki kuna kingine kinaitwa kipimo cha Mirija ya wanawake weee utapiga kelele zotee
 
!
!
Kaka Katika Vyote Aisee Kipimo Cha Tezi Dume, Mh. Ni JK Pekee Kwa Kumbukumbu Zangu Ni Mmoja Wa Watanzania Wachache Waliowahi Kupimwa Na Kutibiwa Hiyo Kitu. Wanaingiza Kidole Cha Matusi Huku Nyuma Myuuu Halafu Anakoroga.
 
Je kingekuwa cha kupitishia kule kwingine? Pole mkuu kwa maumivu...

Kaka mimi nilishapitia hicho kipimo nilipata shida sana kama shuhuda anavyosema mpaka ilibidi nirudi kuapologize kwa Dk. na nurse baadaye. Ikiwa kuna kufanyiwa tena ikawepo hiyo option ya kwingine ningekubali ili niendlee kupumua. Maumivu yake huwa zaidi ya siku nne.
 
kuna kingine kinaitwa colonoscopy unaingizwa kwa 'back' hicho nacho balaa ukizingatia vialainishi vimepigwa marufuku
 
Mkuu wewe umepona? Na mm nilifanyiwa icho kipimo na nikapewa dozi ya miezi kama miwili,lakini imejirudia
 
Mm walinifanyia bila ya ganzi
 
Nilipata majibu kwamba sina Ulcers lakini kwa mujibu wa vipimo vingine nilivyopima niligundulika nina kiasi kikubwa cha Acid mwilini na kuna vijimawe vidogo vidogo kwenye figo,so nipo kwenye dozi mkuu.
Dozi ya muda gani mkuu?
 
Hahaaaaa pole ndo ukiumwa aibu pembeni
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…