Usiombe uende hospitali ukafanyiwa kipimo hiki cha OGD

Kama umepata mikwaruzo tumboni, basi ndio utakuwa umeachiwa vidonda vya tumbo
 
Pole mkuu.
 
Yaani homa tu na tumbo ndo wamekusokomeza huo mdude!!

Enhe vipi majibu yalisema una ulcers au GERD?
 
Mkuu wewe umepona? Na mm nilifanyiwa icho kipimo na nikapewa dozi ya miezi kama miwili,lakini imejirudia
Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!
 
Hahahaha mimi nilipimwa Hindu Mandal mpaka yule dokta mhindi (mzee hivi) akanisifu sana na wale manesi..mana I was overly calm!!!!

Ila inakera sana especially during and after the procedure!!!!

Pole mkuu...
 
Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!
Dah!! Hata mm unazingua kuna muda,ivi solution ya kupona kabobs hamna zaidi ya kupoza kwa muda tu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipewa na ganzi duu kile kipimo ni kavu kavu hawatoagi ganzi we una bahati lakini hakitishi kiivo
 
Hata mm nilipiwa icho kipimo ni noma unameza dude kama vile chatu anameza chatu mwezake
 
Nimesoma tu maelezo yako nimesikia maumivu hadi kwenye utumbo, siku nikisikia wanataka kunipima takataa hadi dk ya mwisho.
Tena kataa kinaingizwa mdomoni kinafika hadi mlango wa haja kubwa pale pale[emoji3] [emoji3]
 
Kiasi niko poa coz maharage, kachumbari nakula sema kuna kipindi huwa inajirudia so nacontrol misosi na stress baada ya muda nakua normal!!

Pole mkuu; embu nambie ulikuwa unapata dalili zipi kabla ya matibabu, mana nikiwa stressed kuna hali huwa najisikia tumboni, nilienda hospital wakanipa dawa za minyoo, nilitumia nikawa poa ila baadae nikagundua Ina uhusiano na akili
 
dah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
dah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
dah. walinipiga hicho kipimo kwenye clinic fulani karibu na Al Muntazir. kinatesa sana.
napafaham pale panaitwa Alfa wako vizuri sana nami nilifanyiwa pale sitosahau nilivyotema mimate kama roho inatoka vile pumzi zinakata
 
Pole sana mkuu...me ni dada
 
Pole sana mkuu, wakati nchi zingine wanapiga hatua kwenye technology ya tiba sie twatumbuana majipu!
Vipimo vya kisasa kama ct scan na (ultrasound abdominal exploration) hivi vipimo vya endoscopy na barium meal x ray ni vya zamani sana hivi!
 
Ni bei gani kupimwa Ogd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…