Mimi huwa nawashauri wanaume ambao wako katika kuanzisha uhusiano wenye future .
Mwanaume jishushe usijioneshe kuwa na pesa utapata mwanamke fake asiyekupenda kwa dhati bali pesa yako!
Mwanamke akikuuliza unafanya kazi wapi mwambie kuwa wewe ni mwalimu wa primary au sekondari kwa mfano uone kama anamapenzi ya kweli atakukubali hivyo hivyo.
Mwanaume ukimwambia Mwanamke unafanyakazi TRA au BOT , Bank , Mhasibu n.k atakuganda, ata pretend kukupenda kumbe sababu ya maslahi na wala siyo Upendo wa dhati toka moyoni.
Tafakarini.
Wanaume wachache ninaowapenda kama upendo wa ndugu huwa nawashauri hivyo!