Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Basi muraaaKawaida yangu boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi muraaaKawaida yangu boss
Na mnenguaji ananengua kwenye maandalizi Miezi 3
Bora mnenguaji kuliko mkalia kiti(mhasibu)
Doh wanenguaji wanalipwa bei kubwa, laki 5?!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kutana na Madaktari, Wanajeshi, Wanasheria hao fresh mzeeKwa hyo ni fani gani ambayo haina wabahili mkuu?
Fuatilia wewe unijuze
Me Huyo diamond hata simfuatiliagi
[emoji124][emoji124][emoji124]
Nani huyo??🙄Ila kwa haraka haraka tu anavuta mkwanja mrefu zaidi ya meneja wa benki,anapewa nyumba na gari
Nani huyo??[emoji849]
hahahahadancers wa diamond,ongeza na trip za kwenda nchi mbalimbali kufanya shoo
then what are you doing here kama hutaki attention yourself?Attention seeking is a serious disorder
Did i blame you madam?then what are you doing here kama hutaki attention yourself?
i dont know, what do you think?Did i blame you madam?
Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi?
Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini
Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi, kanisumbua wiki 2 nikakubali kutoka nae out, alafu ananiletea mambo ya kizamani
Money Penny: mambo gan tenaaa?!
Mrembo: bili ilipokuja ananiambia tugawane malipo nusu Kwa nusu, yeye alipie nusu na Mimi nilipe nusu
Money Penny: bili ulikuja bei gan?!
Mrembo: laki 1 nanusu
Money Penny: na wewe 75 haukuwa nayo au?!
Mrembo: nilikuwa nayo, lakini yeye ndio kanisumbua, alitakiwa alipe yeye sio Mimi, Yani wanaume wengine ovyo Sana, anasema yeye NI mhasibu WA kampuni moja hapa mjini, nashangaa Leo kumkuta hapa Kawe🙄
Wahasibu WA skuhizi sijui wamekuwaje?!
Siwashauri wadada kutoka out na mhasibu
Money Penny: mkayamalizaje na Kaka WA watu?!
Mrembo: sikulipa, nikaondoka nikamwacha ananiangalia,
Jamani wahasibu wenzangu WA kiume mnafeli wapi?! Au ndio uchumi WA Kati?
Nothingi dont know, what do you think?