Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

Hata mimi sioni uhusiano wa kazi yake mwanaume na kilichotokea.
Inawezekana huyo mwanamke alikuja kwa nyodo halafu mshikaji akachekecha akaona hakuna manufaa atayapata ya baadae akaona hiyo laki na nusu ni hasara tu kwake.
Wajanja wa mjini huwa hawakurupuki kwa ajili ya kumshobokea demu,huwa wanachekecha kwanza yaliyomo yamo.
 
Huyo kweli muhasibu...wahasibu tunaenjoy tunapo ona account inabalance....dr 75 and cr 75 sawi kabisaa
 
Yani! hii nmetoka kuongelea leo na mashikaji mmoja kuna jamaa angu muhasibu wa Moro viwandani uko siku kanifuata tukapige maji si eti likaanza kuhesabu bia mara ya kwanza ya pili hela inamuuma toka hapo nilimshusha sana hili linaukweli kabisa vihasibu vingi ni vibahili
 
mkuuuu pisi kali mwalimu wa primary utapata kweli ugwadu utakuuwa mwaka mzima nakwambia
 
Kwa hyo ni fani gani ambayo haina wabahili mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ