20% of american workers dont have health insurance.
Ukiwa huna health insurance unatibiwa county clinics au planned parenthood.Hakuna mmarekani anayekataliwa matibabu akiumwa... hakuna hiyo kitu. Kwa hiyo ukisikia mmarekani hana insurance ni kwamba hana uwezo wa annual checkups, biannual checkups, dental na vision checkups au vitu kama counselling. Lakini siyo matibabu akiumwa, msipende kujidanganya.
Pili, mimi ninawafahamu na nimeshahost marafiki zangu kama watatu kuja kujifungulia mtoto wao huku, na hawana insurance wala nini, dada aliposikia uchungu, moja kwa moja delivery room na alikuwa anaenda clinic bure.Huyo dada ni afisa mkubwa tu serikalini na alikuwa anaburn hela kama hana akili nzuri, she got dough. The point is, healthcare ya huku ambayo ni ya hali ya chini, huwezi fananisha na hospitali za binafsi huko ambapo dokta kabla ya surgery theatre nzima inanukia udi na shehe yupo pembeni anakula kisomo.
Shule hata za kimaskini huku huwezi fasnanisha na viacademy mbuzi vya tanzania, water quality na availability, electricity, security ...... oh na restaurants za kilalahoi kama applebees huku, huko ndiyo kama zile za wasouth (forgot the name, my brother took me to one), nzi, mbu, kujichokonoa pua na vumbi ......
The point is, kutokuwa na health insurance hakumaanishi kuwa hutibiwi, vijana wengi single wanaopt out.