mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Kazi ni kazi tu ili mradi inakupatia riziki yako kiuhalali. Kuanza kuponda ajira za wengine ni dalili inayo reveal mapungufu ya nafsi. Sasa sijui kuna ubaya gani kuwa na kazi ya kuwahudumia wazee hadi wewe uonyeshe dharau juu yake!
NN usinielewe vibaya, wala sijadharau kazi ya yeyote yule. Nimejisemea kwa upande wangu kwa kulinganisha hizo kazi mbili ni ipi nitakuwa more satisfied kuifanya regardless of how much I'm gonna earn from each.