Usiombe uumwe USA

Usiombe uumwe USA

Kazi ni kazi tu ili mradi inakupatia riziki yako kiuhalali. Kuanza kuponda ajira za wengine ni dalili inayo reveal mapungufu ya nafsi. Sasa sijui kuna ubaya gani kuwa na kazi ya kuwahudumia wazee hadi wewe uonyeshe dharau juu yake!

NN usinielewe vibaya, wala sijadharau kazi ya yeyote yule. Nimejisemea kwa upande wangu kwa kulinganisha hizo kazi mbili ni ipi nitakuwa more satisfied kuifanya regardless of how much I'm gonna earn from each.
 
Hahaa wewe Mwajei wewe! Wangapi bongo wanakufa kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu bana? Watu hao utawaambia nini sasa? Msitake kuipamba bongo ionekane kama vile ina unafuu wa maisha wakati hali ni ngumu beyond belief! Bongo hakuna unafuu wowote ule katika sekta yoyote ile.

Si kweli hapo sikubaliani na wewe hata kidogo. Bongo hali yaweza kuwa ngumu lakini si ngumu beyond belief.
 
Health insurance inalipwa kazini automatically na car insurance ni kitu rahisi kama huna tickets ..... like 600$ a year, most two bedroom apts are like 500$ a month, wakati apartment ya 1000$ bongo haina choo cha kuvuta ... maji hayapandi.

Gas litre moja ni 1200 wakati bongo ni 2000 na zaidi ... phone bill is like 50$ unlimited calls & text, wakati bongo elfu themanini unlimited calls & txt unawUeza maliza wiki mbili ... nilikuwa nachanja 5000 kwa siku.... hapo bila internet.

Vitu vingi ambavyo masikini wa US wanaaford, msomi ofisa wa bongo ni kama luxury, like a show off thang.
wangapi wapo full time kazini?usa Location ni neighborhood
 
40 million Americans have no health insurance, don't they have jobs to cover their insurance?

Vitu vingi vitu gani, taja kimoja ambacho ofisa wa Bongo anashindwa ku afford halafu illiterate wa USA anaweza. Naanza mimi kutaja, ofisa wa Bongo anajenga nyumba, masikini wa US anaweza kujenga au kununua nyumba cash?
Tanzania cash .usa credit card kutwaa
 
40 million Americans have no health insurance, don't they have jobs to cover their insurance?

Vitu vingi vitu gani, taja kimoja ambacho ofisa wa Bongo anashindwa ku afford halafu illiterate wa USA anaweza. Naanza mimi kutaja, ofisa wa Bongo anajenga nyumba, masikini wa US anaweza kujenga au kununua nyumba cash?
Nyumba USA Za mikopo.mtu unachukua mkopo wa nyumba laki 4 tuseme haya down 5000 haya by the time loan hii ukimaliza ni unamiaka 70 na interest maintenance taxes nyumba hiyo utajukuta umeilipia for almost one million .sasa hapo kwa nini usijenge tu bongo kupoteza muda pesa an stress ambazo mtakufa na heart attach
 
Nyumba gani hiyo Marekani inalipwa deni ndani ya miaka kumi? Si kila mtu na shangazi yake angekuwa na nyumba. Nambie uliweka down kiasi gani na interest ni kiasi gani na bei ya nyumba ni ngapi na uliinunua Marekani ya wapi hiyo nyumba? Unless ni trailer park la kuvuta na lori.

Wastani wa miaka ya kulipa deni la nyumba Marekani ni miaka thelathini na ushee, sio kumi ishirini, tuambiane ukweli jamani.

Na sio kila mjenzi Tanzania ana akaunti ya wizi Uswizi. Ukisema kujenga Tanzania lazima uibe basi huijui Tanzania.

Brocklyn na Broklyn ndio nchi gani hizo mkubwa?

Na ukichelewa kulipa miezi 5 nyumba inabebwa
 
Naomba msinitishe mwenzenu hapa nina tiketi ya kuelekea huko.............!!! Ohooooooo tusiharibiane image jamani.

Kama una back up ya mzazi njoo USA .At least pocket money 5,000.uwe mwangalifu sana
 
kila nikiwaza kwenda wanakokuita ulaya au marekani kutafuta maisha naona ni uzushi mtupu.....
unakuta mtu ametoka bongo 10yrs ago lakini maisha anayoishi huko ya kubahatisha hata bahati mbaya akifa anazikwa na serikali....
Nadhani maisha yako wewe Natalia yanasomeka! hao wanachangisha wapate kuishi waambie waje tukalime mihogo na matikiti maji kimanzichana mashamba bwerereeeeeeeeeeee
Wakizaa wanarudisha watoto Tanzania .mchango wa harusi ndio down payment ya nyumba.
 
Natalia umefulia tu rudi bongo uje kulima viazi mabwepande!!! Mbona watu tunawajua wapo huko manhanhe bruklin uptown bmg londoni wanakimba mbaya kama stoper rhymes wa faya atown.

Wazazi wangu wanauwezo ,nimesoma George Washington na nimeolewa na heart surgeon nakaa hapa NY.ila huwa nawasikitiaga sana watu wanaoteseka na wakati wana nchi zao .nongekuwa sijaolewa nimgerudi kutimikia Tanzania .wazazi wangu wameshakuwa Kwenye cabinet Za maraisi Kama watatu wa Tanzania.ILa ujumbe wangu Save your money Jenga Tanzania.usa hiyo nyumba utailipia weeee na mwishowe inachukuliwa na bank
 
huyo mtoa mada si mwelevu wa maisha ya DUNIAN na utakuta mtu anae Ongea ivyo yy.KAPELEKWA NA DADA NA SHEMEJI ZAKE WAPO HAPO KALIBU..NDIO MAAANA ANAMUONA HUYO MKENYA KAMA NI MJINGA FULANI kuugua nikitu cha kawaida duniani kote hata hapa BONGO watu huenda kwa Waganga au kula MWAOLUBAINI ni ukosefu wa kipato sio wanapenda hapa wengi wanategemeana HUKO SIO IVYO nakusii MTOA MADA OGOPA KAULI YAKO
Mimi mtoto wa fisadi huniwezi.my husband is white rich American sina stress Za kutafuta .sijui haya bill ya umeme inalipwaje .my job is makeup shopping and have fun and play with my 3 children .
 
Si kweli hapo sikubaliani na wewe hata kidogo. Bongo hali yaweza kuwa ngumu lakini si ngumu beyond belief.

Hali ni ngumu beyond belief. Njoo huku Dumila ujionee jinsi watu waishivyo.
 
mtoto wa fisadi hebu fanya ubinaadamu sema ukweli kuhusu maisha ya USA kwani watu wanasikia kuwa maisha mazuri sio uongo lakini maisha usa ni kazi na kisomo kama huna buku ndio vile utapindwa na wengi wetu tukienda likizo nyumbani hatusemi ukweli maisha yalivo lakini hata tukisema watu hawatuamini
Maisha popote pale yana urahisi na ugumu wake USA lazima uwe na buku Umesoma vyenginevyo utapindwa
Hii topic imeshakuja hapa ya maisha ya ughaibunu
Mimi mtoto wa fisadi huniwezi.my husband is white rich American sina stress Za kutafuta .sijui haya bill ya umeme inalipwaje .my job is makeup shopping and have fun and play with my 3 children .
 
NN usinielewe vibaya, wala sijadharau kazi ya yeyote yule. Nimejisemea kwa upande wangu kwa kulinganisha hizo kazi mbili ni ipi nitakuwa more satisfied kuifanya regardless of how much I'm gonna earn from each.

Tatizo la kukariri ni kuwaweka watu kwenye fungu moja. Si kila mhamiaji anahudumia wazee licha ya kutokuwepo na ubaya wowote wa hiyo kazi.
 
Tatizo la kukariri ni kuwaweka watu kwenye fungu moja. Si kila mhamiaji anahudumia wazee licha ya kutokuwepo na ubaya wowote wa hiyo kazi.

Tufanye statement yako ndio inafunga mjadala.
 
mkija, pitilizieni vijijini kwenu mkasaidie wazee wenu

:biggrin1: kama yeye mwenyewe hawezi kujisaidia atawezaje kusaidia wazee wake....huko ulaya kuna watu hali zao mbaya lakini ndio wanasemaga bora kua mbwa ulaya kuliko kua binadamu africa
 
wangapi wapo full time kazini?usa Location ni neighborhood
Wengi, karibu wote ninaowajua.
Hivi mbona mnataka watu warudi bongo?? ... Is there some kind of unneccessary inferiority coming from y'all?
Lets say Im living paycheck to paycheck in US, and Im just a high school graduate ... how many high school graduates can't even get a check back home??
I know how life is back home .... not good, not good at all.
 
Mimi mtoto wa fisadi huniwezi.my husband is white rich American sina stress Za kutafuta .sijui haya bill ya umeme inalipwaje .my job is makeup shopping and have fun and play with my 3 children .
pana chezeya wewe mutoto ya geneva King'asti fanya kucome pande hii
 
Last edited by a moderator:
Nyumba USA Za mikopo.mtu unachukua mkopo wa nyumba laki 4 tuseme haya down 5000 haya by the time loan hii ukimaliza ni unamiaka 70 na interest maintenance taxes nyumba hiyo utajukuta umeilipia for almost one million .sasa hapo kwa nini usijenge tu bongo kupoteza muda pesa an stress ambazo mtakufa na heart attach
King'astiiiiiiiiiiiiiiiiiii ehhhhh njoo huku bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom