Usiombe uumwe USA

Kuna mdogo wangu kashindwa kuishi huko mwezi ujao namutumia nauli arudi tugange nae (aje ale vumbi)hapa bongo,box lina wenyewe
 
20% of american workers dont have health insurance.
Ukiwa huna health insurance unatibiwa county clinics au planned parenthood.Hakuna mmarekani anayekataliwa matibabu akiumwa... hakuna hiyo kitu. Kwa hiyo ukisikia mmarekani hana insurance ni kwamba hana uwezo wa annual checkups, biannual checkups, dental na vision checkups au vitu kama counselling. Lakini siyo matibabu akiumwa, msipende kujidanganya.
Pili, mimi ninawafahamu na nimeshahost marafiki zangu kama watatu kuja kujifungulia mtoto wao huku, na hawana insurance wala nini, dada aliposikia uchungu, moja kwa moja delivery room na alikuwa anaenda clinic bure.Huyo dada ni afisa mkubwa tu serikalini na alikuwa anaburn hela kama hana akili nzuri, she got dough. The point is, healthcare ya huku ambayo ni ya hali ya chini, huwezi fananisha na hospitali za binafsi huko ambapo dokta kabla ya surgery theatre nzima inanukia udi na shehe yupo pembeni anakula kisomo.

Shule hata za kimaskini huku huwezi fasnanisha na viacademy mbuzi vya tanzania, water quality na availability, electricity, security ...... oh na restaurants za kilalahoi kama applebees huku, huko ndiyo kama zile za wasouth (forgot the name, my brother took me to one), nzi, mbu, kujichokonoa pua na vumbi ......

The point is, kutokuwa na health insurance hakumaanishi kuwa hutibiwi, vijana wengi single wanaopt out.
 
Kwa hiyo unatushauri tuje??
 
Uje kufanya nini?
It's your life, kama bongo kunakulipa kwanini uje? Na kama hujarithika au unaona potential yako huitumii ipasavyo, you can try other places ... it's your life, not mine and I can care less.

Thank you for your polite answer!
 

Yani hii nchi usiombe uumwe kitu serious utashangaa, yani mafua kuna jamaa yangu alipigwa bill ya $200! Kitu ambacho bongo unapotezea tu au unakula dawa za less than Tsh 200 na umepona. I was shocked beyond words!
 
Yani hii nchi usiombe uumwe kitu serious utashangaa, yani mafua kuna jamaa yangu alipigwa bill ya $200! Kitu ambacho bongo unapotezea tu au unakula dawa za less than Tsh 200 na umepona. I was shocked beyond words!
Dawa gani ipo less than 200shs?
 
Bora ugali dagaa nyumban tena bora mara sabini kuliko huko mnapopaita uropa mnaishia kubaguliwa tu sepeni huko

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
siku hizi kuna kitu cha nabii tito! unakunywa konyagi kutwa mara tatu, malaria kushney! chezeiya bongo weye??? poleni kwa kweli!
 
Mimi mtoto wa fisadi huniwezi.my husband is white rich American sina stress Za kutafuta .sijui haya bill ya umeme inalipwaje .my job is makeup shopping and have fun and play with my 3 children .
Eti umeenda George Washington na unajisifia wewe mtoto wa fisadi na umeolewa na mzungu tajiri halafu unazungumza kimadharau kuhusu mtu anayeumwa?Wewe utakuwa ulienda US kama house girl ukaolewa na mzungu,maana hata unavyotype inaonyesha huna hata college degree usitudanganye hapa.

Na FYI,marekani huwezi ukaumwa halafu ukakataliwa kutibiwa hata kama huna insurance.
 
Yani hii nchi usiombe uumwe kitu serious utashangaa, yani mafua kuna jamaa yangu alipigwa bill ya $200! Kitu ambacho bongo unapotezea tu au unakula dawa za less than Tsh 200 na umepona. I was shocked beyond words!
Ushamba wenu utawamaliza,kuna over the counter medicines ambazo hata huitaji prescriptions,hizo ndo za mafua,allergy etc.Penye ukweli muuseme.Kama hamjui ulizeni.
 
Bado nawasoma mnavyodanganyana .. bongo bado sana..

Huyo.. mkenya abaki.hukohuko... Kuumwa kupo.. atapona aendelee na box..

Alafu kuna mentality ya wabongo wasio na exposure yoyote wanadhani diaspora wote kazi yao kuchambisha wazee na vibarua vya kubangaiza...

Tafuteni passport mtembee ....
 
Pia kunyimwa viza inawezekana ni sababu ya kuwaponda walio usa.sidhani kama passport ni ishu.




 

Acha uongo wewe apartment gani bongo ya usd 1000 haina maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…