Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Wanawake bana.ndio ujifunze kukamiana kavu
Sasa mpenzi si ni wangu? Imefika end of contract ndiyo yakatokea hayo mambo.
Inamaanisha ningekuwa naye nisingeshtuka. My fear ni kuzaa mtoto bila baba .[emoji28]
 
Mama mkwe na wewe yameshawahi kukuta?

Sitasahau nilienda kupima vipimo vya magonjwa yetu nikasema nikikutwa salama naahidi kuanzia sasa ntakua kasisi, paroko, muinjilist, shemasi, fwaza, muasham, kadinali na nikakamia hatua inayofuata ni kuanza mafunzo ya upapa.

Baada ya majibu, hata sikukumbuka jina la mchungaji wangu..hahahaaaa
Hahahaaa ulikuwa unaitwa mchungaji Sam. Naomba urudi kwenye mafunzo ya Upapa
 
Sasa mpenzi si ni wangu? Imefika end of contract ndiyo yakatokea hayo mambo.
Inamaanisha ningekuwa naye nisingeshtuka. My fear ni kuzaa mtoto bila baba .[emoji28]


Hahaa hii inaonyesha ndoa au mahusiano mengi yameshikiliwa na watoto.
 
Hahaha ila nyie wadudu mnamatatizo sana.. sasa we Demiss ulikuwa unaenda kwann?! Kwasababu ya pesa zake au?! Mtu humpendi but pesa zake unachukua na papuchi unampa..! Kesho ukipata playboy unarudi hapa kulalamika..! Duuuh kazi kweli kweli..
Pesaa sabuni ya rohooo
 
Nilikuwa mpaka nilewe pombee jaman likinipapasa nasikia hasira kwahiyo anajua nikienda kwake pombe za kutosha bila hivyoo khaaa hata aninyonye chini siloii maana silipendi
Daaaaahhhhhh ma bad boy tukutane hapa aisee maana tunavyozodolewa unawez kata tamaa hata ya kuapproach gal[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bahat nzur ma bad boy title waga hatukosi Mungu hakunyimi vyote
Lazma utakuwa na pesaaaa ,title(career yeny status) au kipaji[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Ndiyo ukiona mbebez anafunga macho my dear una sura ngumu.
Huwa tunafunga macho halafu tunavuta picha ya mhendisamu

Mbona wanasema sie wenye sura ngumu tunapunguza kompetisheni..hatugombaniwi sana.
 
Back
Top Bottom