Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Nilisha wahi kucoment hivi "mwanamke akikukataa baadae akarudi ujue amekuja kwa mambo mawili kukumaliza au kukupa mzigo wa hatr"
 
Ni wao mkuu. Kila jambo na wakati wake na majira yake.
Wanaotamani wapo katika wakati na majira yao!!
Kwangu wakati bado japo pia siwezi kutoa nikipata.
malizia stori sasa umemsamehe au amekula total ban?
 
Sihitaji kuridhishwa na wewe!!
Ela uliyo itaja na kusikitika huku ukiwa na kipato kizuri, inatushangaza.

Sababu unazi zieleza bado zinatia shaka!!

Kulala saa 5 ni kwamba ulikuwa unafanya kazu kuanzia saa 11 hadi saa 5 usiku, au hata kama muda wa kazi unaisha saa 10 jion lkn ratiba yako ni kulala saa 5?

Kuwahi kuamka au kuchelewa kulala haimaanishi ndo ku-fight.

Isije ikawa workdone=0
Sawa
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Afu hapa mnakuja na story za "mwanaume hanifikishi" wakati mawazoni mwako unamtaka justine baibe.
 
Hi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??

Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
Mimi hapa shoga ...yaani huwa naumia sana nikinunua kipimo cha mimba halafu majibu yatoke empty daaah
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Hahahaha lipugiii
 
Ishanikuta sana hii ....kibaya ukiwa na hofu ya mimba unajikuta una dalili zote na mate unaanza kutematema
 
Za wanaume pia anazo.
Si ulisikia anajua hadi wanaume wenye vibamia?[emoji12] [emoji12]
Karibu tusherekee pamoja.

Ikianza kufikia picha za vibamia hapo inabidi iundwe kamati ya dharura hahahaa.
 
Back
Top Bottom