Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Inauma, sasa unajiuliza nimenunua ya nini sasa.
Hapo unawaza heri ningesubiri tuuu ila ndo vile hofu huwa inakuandama mpaka unapandwa na pressure ...ukijima joto unaona kabisa limepanda
 
Hapo unawaza heri ningesubiri tuuu ila ndo vile hofu huwa inakuandama mpaka unapandwa na pressure ...ukijima joto unaona kabisa limepanda
Unawaza ungeongezea hapo si ununua pedi[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Hii hali ikikukuta ni zaidi ya ugonjwa
 
Ngoma nayo umepima? Au ngoma kama mafua tu siku hizi?
 
Back
Top Bottom