Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Some time wanawake mkipendwa na mkajua mnajipa thamani kuliko mwanzo, samahani labda waweza kutupa sababu ya kutengana kwenu!
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Halafu bina kama namfahamu huyo jamaa
 
,m[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]achaaaaaaa
 
Sababu ya kutengana ni siri yetu
Vizuri, lakini kuna dada mmoja alinieleza maelezo kama uliyoyasema wewe, kumbe ilikuwa ni kweli ana mimba hivyo alitaka mimi nisijue chochote ili akitaka kuitoa nisimchukie kwamba alitoa mimba yangu, ninyi wanawake mna elimu dunia nyingi sana!
 
Hayo mambo hutokeaga sana hasa kwa watu ambao mzunguko upo kamili ikitokea umepitiliza kidogo na unajua uliyofanya basi unatamani ht ukienda chooni uchokonoe na kijiti vitoke lkn wapi.. Hali huwa mbya sana hiyo alfu unajikuta na dalili za hedhi zinakata eeeh na usingiz usiku unapaa. Ikitokea,! unajiapia kwa Mungu hutakaa urudie tena, cha ajbu ikishaisha tu hata hukumbuki tena ahadi hyo na Mungu. Mmh mambo magumu haya.
 
Hi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??

Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
Wewe mtoto, unajua hapa nilipo umesababisha agamaagama lizard wangu anagonga kichwa kwenye mwamba? Utanisaidiaje sasa doll?
 
Back
Top Bottom