Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tulipima ndiyo tukaingia katika mahusiano.
Kwa kifupi alikuwa mpenzi wangu.
Haya, kila la heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipima ndiyo tukaingia katika mahusiano.
Kwa kifupi alikuwa mpenzi wangu.
Huyo katulisha chai hapohii inadhihirisha wadada wanaogopa mimba kuliko ukimwi Dreka
Halafu bina kama namfahamu huyo jamaaWewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Ndo inavyokua sina hamu Mimi !Ishanikuta sana hii ....kibaya ukiwa na hofu ya mimba unajikuta una dalili zote na mate unaanza kutematema
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ndo inavyokua sina hamu Mimi !
Vizuri, lakini kuna dada mmoja alinieleza maelezo kama uliyoyasema wewe, kumbe ilikuwa ni kweli ana mimba hivyo alitaka mimi nisijue chochote ili akitaka kuitoa nisimchukie kwamba alitoa mimba yangu, ninyi wanawake mna elimu dunia nyingi sana!Sababu ya kutengana ni siri yetu
Kho! Kho! Kho! Pole kwa kunyong'onyeshwa.Nimefuatilia komenti kwa umakini mkubwa na tabasamu pana, ila nilipofika hapa ghafla nikajikuta nimenyong'onyea.
Aiseeh, haya ndo madhara ya kuwa na I'd mbili, nilifikiri nimekomenti na ile I'd nyingine[emoji12]Kho! Kho! Kho! Pole kwa kunyong'onyeshwa.
Wahenga walivyosema 'za mwizi ni arobaini' uliwabeza...... Pole sana kwa mnyong'onyeo![emoji23]Aiseeh, haya ndo madhara ya kuwa na I'd mbili, nilifikiri nimekomenti na ile I'd nyingine[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahenga walivyosema 'za mwizi ni arobaini' uliwabeza...... Pole sana kwa mnyong'onyeo![emoji23]
Kho! Kho! Kho! Shughuli njema.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kashughuli nafanya ngoja nikamalizie kwanza.
Naam..Wazee wenzangu wa kuloweka tangazo nadhani mmeliona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwamba nisi duu tena. Hapana hiyo haiwezekani. Kwanza wakuu huko juu wameshasema mimba ni baraka.
Wewe mtoto, unajua hapa nilipo umesababisha agamaagama lizard wangu anagonga kichwa kwenye mwamba? Utanisaidiaje sasa doll?Hi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??
Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.