Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #41
Kipanga mbona unaandika Kama unataka kushukia kifaranga cha bata?Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
Mbona anazeeka upesi hivyo??Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Ni mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza poteza muda kusikiliza matapishi ya huyu taahira?Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Inafurahisha sana kuona wewe ndio utakuwa namba moja kufuatilia. Kwani chuki ya nini ndugu? Basi Kama vipi utapewa habariNi mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza poteza muda kusikiliza matapishi ya huyu taahira?
Wasiwasi wako tuuMbona anazeeka upesi hivyo??
Baada ya matokeo na kumtangaza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, na wabunge na madiwani Kama wote kutoka CCM, mambo yatakuwa kama hivi yaniHoja hamna mmebaki kudhihaki
Ajenda hamna mmebaki kudhihaki
Oktoba 28 ni mwisho wenu (hamtapata mbunge na mwakilishi hata mmoja)
Kila mtanzania anao uhuru huoNitamshauri Deo kisandu nae afanye mkutano na waandishi wa Habari
@Nalimison.
Mackanacky nakutumia popcorn na ujwaju ili vikuburudishe wakati ukifuatilia press ya komredi Slowslow
Atetemeshe kwa hoja gani?
Nani mwingine?Polepole huyuhuyu au mwingine?
Wenye 'muda wao' labda wataweza kumsikiliza!
Ni lazima nipange kutomsikiliza!Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipange kupitwa.