Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
Kipanga mbona unaandika Kama unataka kushukia kifaranga cha bata?
 
Ni mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza poteza muda kusikiliza matapishi ya huyu taahira?
Inafurahisha sana kuona wewe ndio utakuwa namba moja kufuatilia. Kwani chuki ya nini ndugu? Basi Kama vipi utapewa habari
 
Nitamshauri Deo kisandu nae afanye mkutano na waandishi wa Habari
@Nalimison.
 
Hoja hamna mmebaki kudhihaki
Ajenda hamna mmebaki kudhihaki
Oktoba 28 ni mwisho wenu (hamtapata mbunge na mwakilishi hata mmoja)
Baada ya matokeo na kumtangaza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, na wabunge na madiwani Kama wote kutoka CCM, mambo yatakuwa kama hivi yani

 
Wapendwa,

Ni siku nyingine Njema ambayo Mwenyezi Mungu ametupatia.

Karibuni Kumsikiliza mh Polepole, kuna mambo muhimu ataongea

Karibuni sana
 
Msipaniki, hatazungumzia kuhusu mgombea mwenye nongwa ambaye amekosa hela ya wese la "edikopta" akaamua aibebeshe mamlaka tuhuma
 
Polepole ameanza kwa wakati

Ameanza kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha jaji Mark Bomani

Amesema kampeni za mwaka huu ni za kisayansi Sana. Vigogo wa chama waliopo madarakani na wastaafu wanashambulia kila upande

Mama Samia, Kikwete, Pinda, Majaliwa wanashambulia.

CCM itapita kila sehemu kata kwa kata. Itarudia Tena na Tena.

Kuna mgombea amekimbia nchi

CCM inakaribia wananchama 17. Kama kura ikipigwa leo, Magufuli anashinda
 
Zanzibar tunakwenda vizuri mno na kule kazi imekwisha. Wazanzibar wanapenda damu changa
 
Chama cha Mbowe kimewakosea Sana waandishi wa habari. Wakifukuzwa ndani ya dakika 15 wasiwepo uwanjani. CCM inalaani vitendo hivyo vinavyovunja kanuni, sheria na Uhuru wa habari.
Hii inatoa Ishara mbaya kwa vyama hivi ambavyo havijashika hata hatamu
 
Back
Top Bottom