Chama cha Mbowe kimewakosea Sana waandishi wa habari. Wakifukuzwa ndani ya dakika 15 wasiwepo uwanjani. CCM inalaani vitendo hivyo vinavyovunja kanuni, sheria na Uhuru wa habari.
Hii inatoa Ishara mbaya kwa vyama hivi ambavyo havijashika hata hatamu
CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....
Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbingun