Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako ndio utaiona boriti kwenye jicho la ndugu yako
 
anasema hakuna mfumuko wa bei.

Je, 2015 sukari iliuzwa bei gani na sasa inauzwa bei gani??
Sio hakuna Ila umedhibitiwa. Huwezi kupima mfumuko wa bei kwa kuangalia bidhaa moja.

Kama haitoshi, sukari inahujumiwa, Kuna vita ya uchumi hapo. Serikali inajitahidi na ipo pazuri
Your browser is not able to display this video.
 
mataga hii video uliyoweka ndiyo inaonyesha bei ya sukari ya before and after Mzee Pombe regime??
Aisee kweli nimeamini dunia ina mambo. Kumbe mtu kuwa mpinzani ni Kama dini, hata iweje huwezi kumtoa hapo. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…