residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kama hayo aliyotema ni madini,haya hapa chini yatakuwa ni nini?Jisomee mwenyewe madini anayotema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hayo aliyotema ni madini,haya hapa chini yatakuwa ni nini?Jisomee mwenyewe madini anayotema
Kama hayo aliyotema ni madini,haya hapa chini yatakuwa ni nini?
Toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako ndio utaiona boriti kwenye jicho la ndugu yakoCCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....
Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbinguni.
Sio hakuna Ila umedhibitiwa. Huwezi kupima mfumuko wa bei kwa kuangalia bidhaa moja.anasema hakuna mfumuko wa bei.
Je, 2015 sukari iliuzwa bei gani na sasa inauzwa bei gani??
mataga hii video uliyoweka ndiyo inaonyesha bei ya sukari ya before and after Mzee Pombe regime??Sio hakuna Ila umedhibitiwa. Huwezi kupima mfumuko wa bei kwa kuangalia bidhaa moja.
Kama haitoshi, sukari inahujumiwa, Kuna vita ya uchumi hapo. Serikali inajitahidi na ipo pazuri
View attachment 1566207
Aisee kweli nimeamini dunia ina mambo. Kumbe mtu kuwa mpinzani ni Kama dini, hata iweje huwezi kumtoa hapo. Pole sanamataga hii video uliyoweka ndiyo inaonyesha bei ya sukari ya before and after Mzee Pombe regime??
Fafanua ulichoandika mkuuWanamkadhi madaraka nani au unaota?