Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Mimi nadhani mtu nunua gari unalolijua. Ukishindwa sana nunua kwa mwenye tatizo la kifedha mfano mikopo, fedha ya matibabu au ada ya shule/chuo.

Ukishindwa sana nenda car wash au Bar utapata tu chuma nzuri

Hapo kwenye mkopo ndio wanapopigwa

Utadanganywa jamaa anamkopo kashindwa kulipa kumbe kimeo kiko sokoni mwaka mzima kimekosa soko
 
Sio kwerie Gari angalia body tuu engine na vipuli viko kibao pale ilala mwak jna nilinunuag allion yangu safiii namba C body ilikuwa imenyook balaaaa kwa 7M ndo gari yangu ya kwanza kumiliki nilifanya service ya laki 3 oil nikaweka Castrol filter mpyaaa plugs Og air cleaner mpyaa nikaweka na Spencer gari ikawa juu mpka Leo naenjoy mm n mafuta tuuu gari aijawai nisumbua Wala kuwasha cjui chek engine nazingatia oil uendeshaj mzuri road trip ndo zangu kiukwer naenjoy
 
Na mara nyingi muuzaji gari atakwambia ilikua inatumiwa na mwanamke(wanawake wanasifa ya utunzaji magari)
 
Ina engine gani hii Allion?
 
Mimi nadhani mtu nunua gari unalolijua. Ukishindwa sana nunua kwa mwenye tatizo la kifedha mfano mikopo, fedha ya matibabu au ada ya shule/chuo.

Ukishindwa sana nenda car wash au Bar utapata tu chuma nzuri
Car wash na bar unapataje gari?
 
Crown athlete unaipendea nn??
Kwa hz barabara zetu za mitaan hapa bongo siwez kununua sedan vehicle hata sku moja. Yaan bongo ukiacha tu bara bara kuu tayari unakutana na barabara ina makorongo knoma
Mkuu uko sahihi, subaru Impreza imenipa stress mpaka nimekoma.
 
na aara nyingi muuzaji gari atakwambia ilikua inatumiwa na mwanamke(wanawake wanasifa ya utunzaji magari)
Mafundi wanatudanganya sana kuna mwanamke fundi wake wa mchongo alimdanganya kinoma gari ikawa inachemka tu alikuja kuokolewa na ndg yake ilimgharimu zaidi ya mil 1.3 kuiweka sawa, kwahiyo wanawake ni watunzaji lkn kwa kutojua mambo ya magari wanadanganywa sana huko gereji na shida moja sie ke tunahadaika na body ya gari, ndani seat urembo mziki nk sio engine na mengineyo
 
Gari ya mwanamke Body inakuwa nzima ilaa Gari sio body aiseeee.. engine..gear box weka system zingine za ndani ndo muhimu zaidi. Gari used bongo ni kubet ila mimi nilinunua hapa hapa miaka 2 sasa sijawahi pata shida kubwa kabisaa.
 
Car wash na bar unapataje gari?
Mbona karibu 70% ya gari nzuri zinauzwa hayo maeneo Mkuu. Kama una chuma kimenyooka jua kila ukienda nayo bar au car wash kuna watu wawili wanauliza ''Hii chuma imenyooka sana, haiuzwi kwelii?'' sasa siku wewe mwambie anayeiosha kuwa unaiuza, hutaamini yajayo.
 
Gari ya mwanamke Body inakuwa nzima ilaa Gari sio body aiseeee.. engine..gear box weka system zingine za ndani ndo muhimu zaidi. Gari used bongo ni kubet ila mimi nilinunua hapa hapa miaka 2 sasa sijawahi pata shida kubwa kabisaa.
Wahuni wanasema chuma kilichokaza hakitafutwi, unakutana nacho tu.
 
MzKuu hata showroom n mimba now days umeshawaza yale mashow riom kinondon mnabadikishana gariyako anakupa mpya ati unaongeza kidogo tu unajua yanaendaga wapi??

Uliza wanaonunua simu mbovu
 
Gari ya mwanamke Body inakuwa nzima ilaa Gari sio body aiseeee.. engine..gear box weka system zingine za ndani ndo muhimu zaidi. Gari used bongo ni kubet ila mimi nilinunua hapa hapa miaka 2 sasa sijawahi pata shida kubwa kabisaa.
Ndo nilichomaanisha gari za wanawake nzima nje ndani mabovu labda ukute ana mwanaume anaemjali yani matengenezo yafanyike chini ya uangalizi wa mwanaume, (mume kaka, rafiki nk)
 
Nakubaliana na wewe 100.Gari ikiwa na bodi nzuri hata kama limepauka.Na chini kukawa poa.Hata kama injini ni mbovu Unanunua mswaki unaweka biashara imeisha.
Mimi siku hizi natafuta mwenye gari iliyokufa injini,nanunua kwa bei nafuu,naenda kuweka mswaki.Biashara imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…