kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Ha ha aisee wabongo nuksi sana, ni bora umeisemea nafsi yako. Na mimi nasema siwezi kununua gari used hapa bongo na huko show room! Unajua kwa nini...?Sina Ndoto ya kuaguza gari nje wala nini, yaani nina hela zangu mkononi halafu nianze kusubiri gari miezi, nikifa wkt gari ipo njiani je!? Haya tufanye imefika nimetoa mil20 zangu gari siku ya kwanza tu unaamka asbh unakuta wameiba taa, sijui power window nk, kuja kuirudishia tena iingie road gharama, ni heri ninunue mkononi za mil7 mwisho hata wakiiba watajijua, na mradi inatembea mkoa to mkoa