IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 176
- 441
Niwahakikishie tu kuwa mtoa mada hajui chochote kuhusu magari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunalijuwa hilo from day one, kwanza hata TRA hawajui.Niwahakikishie tu kuwa mtoa mada hajui chochote kuhusu magari!
Nimeweka 60% sababu brand new car kodi yake ni pungufu chini ya 100%Kodi bila kupepesa macho ni 100% hadi 120% ya kuagiza hilo gari.
Hakunaga kodi za chini ya 100% sikuhizi.
Ila haiwi 60% kwa TRA naowajua mimi, lazma wafyeke 80%Nimeweka 60% sababu brand new car kodi yake ni pungufu chini ya 100%
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.
Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.
Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao
Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.
Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia
Same to me..nilinunua gari kwa mtu mpk leo ni mwaka wa pili haijawahi kunisumbuaNmenunua Gari ya Mtu mwaka wa 2 sasa hakuna cha usumbufu ni service za kawaida na huyo mtu simjui na anijui.
Hahahahhaha nimeanza na kufurahi kidogo niliuziwa carina ya milioni tatu picha linaanza ina kelele kama kifaru cha vita huko congo alafu ndio gari langu la kwanza kumiliki na la kwanza kuendesha kama sio kujifunza ilikua balaa lile gari lilikua halili mafuta linabugia alafu halina nguvu ila mbwa yule dalali siku ya kuijaribu wee alikua anatoka nduki balaaa full kufukia mishimo kitu safi aliponiachia tu kesho yake nilizeeka ghafla mbona , nyie watu miongoni mwa stress kali ni kuwa na gari bovu yani unakua na hasira muda wote basi nikakomaa nalo dalali akaniblock likanilia vihela balaa bwana bwana si likaja kutulia full ac, mziki mkubwa, nikakutana na dalali nilikua najaza upepo bila aibu eti alaaah unaona nilikuambia utanishukuru tu kwa huo mchuma ,bahati nzuri huwa sirembi nikampa bonge wa mtusi huku namfata akaona naweza anzisha ukraine pale akala kona,ila wazee bure aghali we fikiria gari milioni tatu si kujitafutia presha huku na presha niliipata kweli[emoji23][emoji23]
Same to me..nilinunua gari kwa mtu mpk leo ni mwaka wa pili haijawahi kunisumbua
Sema mkuu tupo kundi la wale wenye bahati[emoji23]
Brother gari kutoka Japan Hadi DAR ni mwezi mmoja na wiki 1 au 2..Kuagiza gari nje siyo gharama kama watu wanavyozani
Tatizo lipo kwenye kuisubil hiyo gar ifike, uvumilivu unao!?
Ndiyo maana wengi wanaishia kwenda show room wanabeba na kuondoka
Lakin uliwah kujiuliza unayenunua gar showroom unampa faida kubwa kiasi gan muuzaji!!?
Agiza gari kijana acha uoga
Ila wakulungwa wanazingua, wanataka pasu kwa pasu wakati hawajachangia hata kufunga boriti kwenye gari. Iko haja wareview tena makodi yao.Kiufupi sikuhizi ushuru ni uwezo wa kulinunua hilo gari mara 2! Kama bei ya kulifikisha bandarini ni 6M basi andaa 6M ingine ya wakulungwa pale TRA.
Ila haiwi 60% kwa TRA naowajua mimi, lazma wafyeke 80Nimeweka 60% sababu brand new car kodi yake ni pungufu chini ya 100%
Wakulungwa wanayumba kweli yani 🤣🤣🤣Ila wakulungwa wanazingua, wanataka pasu kwa pasu wakati hawajachangia hata kufunga boriti kwenye gari. Iko haja wareview tena makodi yao.
Boss, ww ni mgeni sana kwenye mambo ya magari.
Huyo nimemwambia ni mgeni sababu ya kuignore CIF na kuangalia cost tu kwenye matangazo yake aliyopost. Halafu ww inaonekana una stress za kuibiwa sana. Huenda wamekuibia mno. Pole.Watu kama nyie ndo wezi tena wezi sana mnajifanya mnajua kuhusu kununua gar mtandaoni kumbe ni kuibia watu iyo BMW ata ukiweka galama zote bado itafika kwa million 14
Garama za usafirishaji na galama za kodi na kodi ya uchakavu ivo huwa vinajulikana ukiingia tu ktk kikootoo cha TRA garama zote zko wazi
Hahaha ww sema haupo tayari kuspend 20m kwenye gari. Mambo ya kuibiwa insurance si zipo boss.Sina Ndoto ya kuaguza gari nje wala nini, yaani nina hela zangu mkononi halafu nianze kusubiri gari miezi, nikifa wkt gari ipo njiani je!? Haya tufanye imefika nimetoa mil20 zangu gari siku ya kwanza tu unaamka asbh unakuta wameiba taa, sijui power window nk, kuja kuirudishia tena iingie road gharama, ni heri ninunue mkononi za mil7 mwisho hata wakiiba watajijua, na mradi inatembea mkoa to mkoa
Ni kweli kabisa maana gari huwezi kupata history yake kama gari ulilonunua nje, hizi gari used za wabongo haziaminiki na hasa umkute dalali mjanja utapigwa polish mpaka utalainika na utalinunua gari ki ulaini ngoja ufike nyumbani inaanza na kutoa moshi kama treniHii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.
Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.
Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao
Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.
Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia
Mkuu ni kweli usemayo. Lakini tunanunua hapa bongo kwa sababu za kiuchumi. Hakuna mtu asietaka kumiliki litu kimeendeshwa na ngozi nyeupe.Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.
Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.
Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao
Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.
Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia
Ilikuwa na shida gani?Hahahahhaha nimeanza na kufurahi kidogo niliuziwa carina ya milioni tatu picha linaanza ina kelele kama kifaru cha vita huko congo alafu ndio gari langu la kwanza kumiliki na la kwanza kuendesha kama sio kujifunza ilikua balaa lile gari lilikua halili mafuta linabugia alafu halina nguvu ila mbwa yule dalali siku ya kuijaribu wee alikua anatoka nduki balaaa full kufukia mishimo kitu safi aliponiachia tu kesho yake nilizeeka ghafla mbona , nyie watu miongoni mwa stress kali ni kuwa na gari bovu yani unakua na hasira muda wote basi nikakomaa nalo dalali akaniblock likanilia vihela balaa bwana bwana si likaja kutulia full ac, mziki mkubwa, nikakutana na dalali nilikua najaza upepo bila aibu eti alaaah unaona nilikuambia utanishukuru tu kwa huo mchuma ,bahati nzuri huwa sirembi nikampa bonge wa mtusi huku namfata akaona naweza anzisha ukraine pale akala kona,ila wazee bure aghali we fikiria gari milioni tatu si kujitafutia presha huku na presha niliipata kweli😂😂