Usipende kununua magari yaliyotumika Tanzania

Hahahahhaha nimeanza na kufurahi kidogo niliuziwa carina ya milioni tatu picha linaanza ina kelele kama kifaru cha vita huko congo alafu ndio gari langu la kwanza kumiliki na la kwanza kuendesha kama sio kujifunza ilikua balaa lile gari lilikua halili mafuta linabugia alafu halina nguvu ila mbwa yule dalali siku ya kuijaribu wee alikua anatoka nduki balaaa full kufukia mishimo kitu safi aliponiachia tu kesho yake nilizeeka ghafla mbona , nyie watu miongoni mwa stress kali ni kuwa na gari bovu yani unakua na hasira muda wote basi nikakomaa nalo dalali akaniblock likanilia vihela balaa bwana bwana si likaja kutulia full ac, mziki mkubwa, nikakutana na dalali nilikua najaza upepo bila aibu eti alaaah unaona nilikuambia utanishukuru tu kwa huo mchuma ,bahati nzuri huwa sirembi nikampa bonge wa mtusi huku namfata akaona naweza anzisha ukraine pale akala kona,ila wazee bure aghali we fikiria gari milioni tatu si kujitafutia presha huku na presha niliipata kweli[emoji23][emoji23]
Carina ina Kelele kama kifaru cha vita dah [emoji119][emoji23]
 
Upuuzi, sema wanaitaji kuwa makini na sio vinginevyo, nimeagiza magari 7 maishani mwangu, yote nimeuza na niliowauzia wanashukuru mpaka leo.

Nimenunua magari yaliyotumila ma 4 katika maisha yangu na sijajuta,

Cha muhimu:

  • Body zuri.
  • Spare zipo.
Dah kweli niliwahi nunua Noah million nne nikaipiga service ya maana mpaka sahivi ni chuma
 
Hii nakupa tu ushauri ww unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.

Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.

Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.

Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.

Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.

Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao

Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.

Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakin mm Big thinker nimetimiza jukum langu usije sema sikukwambia
Hivi unadhani wewe pekee ndo unayajua haya? Hivi unadhani wote wanaonunua used hapa nchini hawajui kuna kuagiza?
 
Hii nakupa tu ushauri ww unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.

Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.

Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.

Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.

Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.

Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao

Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.

Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakin mm Big thinker nimetimiza jukum langu usije sema sikukwambia
Hiyo gharama ya ushuru ambayo mtu anaiona kubwa anakuja kufidia kwenye gharama za kurekebisha hiyo gari. Na mimi nilishajiaminisha kuliko kununua gari used kutoka mkononi kwa mtu kwa zaidi ya millioni 15 bora uagize japan.
 
Bei hiyo ni bila kodi na usafirishaji au pamoja usafirishaji na kodi za TRA
Hapo bila
1.Kodi
2.Insurance
3.JAAI
4.Ushuru wa bandari
Kodi (ndio baba lao)
5.Clearance 300k -500k
Gari ya 4M hadi unasajili hapa bongo uwe na 13+M

Msidanganyane kuna gari mwaka 2014 niliitoa babdarini ya ndugu yangu kodi pekee ilikuwa 9.4M
Ushuru 540k
Bei ya kununuliwa UK 7.8M
Hapo sijaweka gharama ya usafirishaji na ukaguzi Inspection fee na bima ya gari ikiwa safarini (baharini)
 
Kuagiza gari nje siyo gharama kama watu wanavyozani

Tatizo lipo kwenye kuisubil hiyo gar ifike, uvumilivu unao!?

Ndiyo maana wengi wanaishia kwenda show room wanabeba na kuondoka

Lakin uliwah kujiuliza unayenunua gar showroom unampa faida kubwa kiasi gan muuzaji!!?

Agiza gari kijana acha uoga
 
Mpwa shituka basi unanitia aibu!!
 
Hii nakupa tu ushauri ww unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.

Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.

Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.

Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.

Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.

Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao

Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.

Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakin mm Big thinker nimetimiza jukum langu usije sema sikukwambia
Facts
 
Si kila mtu ana maamuzi yake lakini? Kuna mtu anaona vanguard ya 35 m ni bei ila anachukua used kwa 20m. MIMI siwezi.
Hata kwa 18M mimi nachukua ila iwe na namba za karibu mfano gari ya juu juu yenye usajili DZ utakuta bado ni mpya kabisa.

Tena hasa ambayo inatembelewa mjini tu. Ishu ni kukagua kama kuna faults uzitambue mapema. Na pia anayekuuzia ana mishe gani? Sio unauziwa gari na mtu ambaye hata gari haijui vizuri unanunua tu utapigwa.

Ujinga wa kununua gari eti kisa namba E upigwe kodi almost 15M zaidi wakati gari hio hio unaipata kwa bei chee sifanyi. Bora ununue gari uweke laki 5 ubadilishe ownership tu.
 
Vanguard Namba DZ nzima kabisa hata gearbox haisumbui uipate kwa 15 million? Ukiipata niite nikuchangie milioni 2
 
Back
Top Bottom